Fanya biashara na mimi

Fanya biashara na mimi

HadithiZaRuvuly

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2014
Posts
369
Reaction score
114
Biashara ni moja ya nguzo muhim sana katika maisha tafadhali tujenge msingi bora kwa maisha yetu.
[emoji117] Ruvuly De finisher - Community - Google+
ca073498fae91c24ad99e6566274389b.jpg
 
Nifanyebiashara nawewe kwa misingi ipi,weka waz bishara unazofanya na faida zinazopatikana utawanasa watu kiraisi otherwise utasugua bench.
 
Mojawapo ya dalili za kufeli unapoanzisha biashara ni kutojua ni kitu gani unafanya......hii hufanya wadau wapate shida kujua unadeal na nini kama labda pengine biashara yako ni ya magendo au ni halala....
 
Hakuna biashara magendo alafu ikatangazwa rekebisha kauli hiyo mkuu
 
Back
Top Bottom