Fanya hata mambo haya manne na shetani na vibaraka wake watakukimbia

Joined
Jun 30, 2023
Posts
11
Reaction score
38
1: Usimpe nafasi kwa kumtajataja na kumzungumzia. Tumia muda mwingi kumzungumia Mungu na uweza wake. Mtoe kabisa akilini na kwenye fikra zako mjaze Mungu badala yake.
Waefeso 4:27
wala msimpe Ibilisi nafasi.

2: Mpinge. Usiunge mkono juhudi zake. Ukiona anakufatafata na kukusumbuasumbua ni kwa sababu humpingi. Uko neutral au unamuunga mkono.
Yakobo 4:7
Basi mtiini Mungu. Mpingeni Shetani, naye atawakimbia.

3: Jitenge na kazi zake. Usishiriki au kuziunga mkono.Mkemee.
Waefeso 5:11
Wala msishirikiane na matendo yasiyozaa ya giza, bali myakemee;

4: Hakikisha akili yako inajaa neno la Mungu na tafakari za uweza wake. Kila siku unazoezi la kuporomosha mawazo maoni na programmings zote za kishetani zinazojaribu kupenya na kuweka himaya akilini mwako.
2 Wakorintho 10:5
tukiangusha mawazo na kila kitu kilichoinuka, kijiinuacho juu ya elimu ya Mungu; na tukiteka nyara kila fikira ipate kumtii Kristo;

Ubarikiwe.
 
Asante.
 
Alfu lela ulela
 
Back
Top Bottom