EMMANUEL JASIRI
Senior Member
- Feb 2, 2015
- 150
- 84
Namba moja iyo mnaanza kulaumiana bure eti haah mtu autaki kunipa connection hata awajui unachofanya mpaka unafanikiwa je labda natembea na mother angu,biashara yoyote ina siri kubwa...IGA UFE1. Fanya biashara unayo ielewa vizuri zaidi, usiige tu kwa kuona mwingine anafanikiwa. Hakikisha wewe mwenyewe una ujuzi nayo
2. Hakikisha umeyasoma mahitaji ya wateja wako watarajiwa. Hakikisha umeyaelewa kiundani zaidi mahitaji yao na unaweza kuwatimizia ipasavyo.
3. Amua kujenga mahusiano mazuri na wateja wako watarajiwa. Waelewe ili uweze kuwa sababu ya furaha yao.
BIASHARA YOYOTE IMARA HUJENGWA PALE TU. UNAPO KUWA NA MAHUSIANO MAZURI NA WATEJA WAKO.
Fanya bei nzuri. Hii inatosha mimi kuwa mteja wako sio lazima uje kufanya stori na mimi eti unajenga uhusiano mzuri1. Fanya biashara unayo ielewa vizuri zaidi, usiige tu kwa kuona mwingine anafanikiwa. Hakikisha wewe mwenyewe una ujuzi nayo
2. Hakikisha umeyasoma mahitaji ya wateja wako watarajiwa. Hakikisha umeyaelewa kiundani zaidi mahitaji yao na unaweza kuwatimizia ipasavyo.
3. Amua kujenga mahusiano mazuri na wateja wako watarajiwa. Waelewe ili uweze kuwa sababu ya furaha yao.
BIASHARA YOYOTE IMARA HUJENGWA PALE TU. UNAPO KUWA NA MAHUSIANO MAZURI NA WATEJA WAKO.
Mkuu ukisema tufanye biashara tunazozijua na ujuzi nazo utakuwa huna tofauti na wanaotaka mwajriwa awe na uzoef miaka 3. Lazima kila kitu kina starting point.hasa
namba moja iyo mnaanza kulaumiana bure eti haah mtu autaki kunipa connection hata awajui unachofanya mpaka unafanikiwa je labda natembea na mother angu,biashara yoyote ina siri kubwa...IGA UFE
🤣🤣! Na mbuteNi kununua zambarau na matabolwa.
🤣🤣! Na mbute
Mihogo ilowekwa kwa maji ikachachuka tayar kuwa kusaga unga....!Mbute ni nini?
Mihogo ilowekwa kwa maji ikachachuka tayar kuwa kusaga unga....!
Hii comment imenifurahisha na nikiangalia hiyo motion avatar yako inaendana😄4. Weka ulinzi wa hela, kama ni mcha Mungu fungua biashara yako kwa maombi na kama wewe ni wamataifa tafuta mganga aganye mambo.... Chuma ulete wapo kila sehemu.
mambo gani ayo mkuu ukiyaect wateja hawtokaa mb ali na weweHakika Mkuu
Nina mpango mkubwa sana wa kufungua duka la rejareja + jumla.
Nitawakamata sana hao wateja,kwa sabbu nitacheza nao kwa saikolojia kubwa. Kuna mambo flani flani ukiyaact kwa mtu kamwe hatokaa apindue meza[emoji2][emoji23][emoji23]
Hawatonishinda kabisa.