RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
EWURANani wanaohakikisha gesi haichakachuliwi sokoni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
EWURANani wanaohakikisha gesi haichakachuliwi sokoni?
Unafaham majiko ya pinetech?- Weka umakini katika rangi ya moto wa gesi uliopo kwenye jiko lako.
View attachment 3092354
* Kama moto una rangi ya bluu inamaanisha kila kitu kipo vizuri na joto linalozalishwa na huo moto ni nyuzi joto kuanzia 1,500°C hadi 1,700°C
* Kama moto wako ni mwekundu au rangi ya chungwa, hii (inawezekana*) umeuziwa gasi iliyochanganywa na gesi ya Oksijeni kwa kiwango kikubwa hali hii itakupa uzito ule ule wa mtungi ila itakupelekea kupata moto wenye jororidi ndogo au pungufu kwa nyuzi joto 900°C hadi 1,200°C. Hii ina maana gani? Ni kwamba utahitaji kufungua gesi zaidi kwenye valvu yako, matumizi yatakuwa makubwa kuliko uhalisia na kukufanya umalize gesi kwa muda mfupi.
#Lakini pia tambua: Upungufu wa hewa ya oksijeni kwenye chumba unacho-pikia inaweza kusababisha gesi yako kubadilika rangi. Sehemu unapopikia hakikisha kuna mzunguko mzuri wa hewa ya oksijeni ili kurahisisha uchomaji mzuri wa gesi ya kupikia.
Endapo gesi hii isipochomeka vizuri basi huweza kusababisha uzalishaji wa hewa sumu inayojulikana kama Carbon monoxide.
KUMBUKA: Unatakiwa kila mara kufungua milango na madirisha sehemu unayotumia kupikia ili kuruhusu mzunguko wa oxygen ndani.
Hawatatoka Ng'o....!Kama ndivyo tupaze sauti hizi mamlaka watoke ofisini wanakula Kodi zetu bure
Hawatatoka Ng'o....!
Wanaongozwa na CCM Mkuu...!
Pumbafu
Pumbafu
Hii inategemeana na aina ya jiko unalotumia kwa wale wa plate zingatia hiliPia chini ya jiko lako la kupikia (PLATE) kuna Sehemu ya ku regulate uwiano wa kiwango cha gas na oxygen,ukiona moto bi njano au sufura zinakuwa na moshi inawezekana kabisa uwino wa gas na oxygen sio mzuri,inua jiko rekebisha.
Asante, ila sasa kama siyo wa buluu ninatakiwa nifanye nini? Niupeleke TBS? Au Tume ya Ushindani?- Weka umakini katika rangi ya moto wa gesi uliopo kwenye jiko lako.
View attachment 3092354
* Kama moto una rangi ya bluu inamaanisha kila kitu kipo vizuri na joto linalozalishwa na huo moto ni nyuzi joto kuanzia 1,500°C hadi 1,700°C
* Kama moto wako ni mwekundu au rangi ya chungwa, hii (inawezekana*) umeuziwa gasi iliyochanganywa na gesi ya Oksijeni kwa kiwango kikubwa hali hii itakupa uzito ule ule wa mtungi ila itakupelekea kupata moto wenye jororidi ndogo au pungufu kwa nyuzi joto 900°C hadi 1,200°C. Hii ina maana gani? Ni kwamba utahitaji kufungua gesi zaidi kwenye valvu yako, matumizi yatakuwa makubwa kuliko uhalisia na kukufanya umalize gesi kwa muda mfupi.
#Lakini pia tambua: Upungufu wa hewa ya oksijeni kwenye chumba unacho-pikia inaweza kusababisha gesi yako kubadilika rangi. Sehemu unapopikia hakikisha kuna mzunguko mzuri wa hewa ya oksijeni ili kurahisisha uchomaji mzuri wa gesi ya kupikia.
Endapo gesi hii isipochomeka vizuri basi huweza kusababisha uzalishaji wa hewa sumu inayojulikana kama Carbon monoxide.
KUMBUKA: Unatakiwa kila mara kufungua milango na madirisha sehemu unayotumia kupikia ili kuruhusu mzunguko wa oxygen ndani.
Yeah inategemea na aina ya jiko mkuu, asante kwa ufafanuzi zaidiHii inategemeana na aina ya jiko unalotumia kwa wale wa plate zingatia hili
Niwe mkweli tu mara ya mwisho kuuona huu mwangaza wa blue ni enzi hizo gesi inaingia ingia na nilijua sababu ndio kitu kigeni hivyo nikawa natazama kwa makini nikihofia kulipuka- Weka umakini katika rangi ya moto wa gesi uliopo kwenye jiko lako.