Asantee totoo, hii elimu niliipata kwa mara ya kwanza mwaka uleeeeeee niliponunua jiko la gas, enzi naanza maisha ya kujitegemea. Yule muhindi alikuwa akikuuzia jiko anakupa na hiyo elimu na namna ya kuregulate moto utoke huo wa blue.