antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Umenena vyema mtumishiMaombi ni mazungumzo kati yako na Mungu kama mtoto anayoongea na Baba yake. Yeye anayejua ndio anaruhusu tuongee naye chochote ikiwemo na mahitaji hata kama anayajua.
Anasema leteni hoja zenu za nguvu, anawaita watoto wake wahojiane naye (Reason together Isaya 1:18). LAKINI KUMBUKA HATA PUMZI ALIYOKUPA HUJAOMBA. NA MENGINE UNAOMBA ANAJUA YATAKUUMIZA ILA KARUHUSU MAANA KATIKA KUZUNGUMZA NAYE UTAFUNDISHWA PIA.
Pia mtu aliye na ukaribu sana na Mungu ajenda zake nyingi katika maombi ni Shukrani. SHUKRANI KWA ALIVYOPEWA NA ASIVYOPEWA AMBAVYO ATAPEWA. MAOMBI YA KUHITAJI VITU NI HATUA YA AWALI YA MAHUSIANO NA MUNGU. KIKUBWA UENDE NA HOJA KATIKA MAWASILIANO YAKO NA YEYE. UKIITWA IKULU UKAE NA RAISI SIKU NZIMA WAWILI PEKE YENU, UKAENDA BILA POINTS NA HOJA UTAKUWA UMEJINYIMA NAFASI KUBWA. SISI TUMEITWA KUKAA NA RAIS WA MALINMWENGU YENYE TRILLIONS Za sayari enye viumbe matrillion na serikali zisizohesabika. Huyo ndiye tunayemuendea kuzungumza naye kila siku.