Fanya haya kuongeza thamani ya ibada yako katika mikusanyiko ya kiroho

Umenena vyema mtumishi
 
Hilo ni kosa baya sana. Maana mizaha inamfukuza roho mtakatifu. Wengi hawasomi maandiko kama zamani. Huo udhaifu unafichwa kwa vichekesho na mizaha.
Nilikuwa kwenye Ibada sehemu fulani baada ya shuguli za kukusanya sadaka na kwaya kumkaribisha anayehubiri.

Yaani jamaa aliyejitambulisha mzee wa kanisa alianza kutoa story ya watunzi wa nyimbo, mara huyu alikuwa flani, alikufa siku flani daa πŸ˜„!!.

Akaanza kusomewa mafungu na mtu aliyekaa na sisi huku, mafungu kama 30 anaanza hili anenda kwenye lile yaani ni hatulii sehemu moja.

Kituko sasa, mwisho kabla hajamaliza akatoa tangazo, sijui nani kafa daaa πŸ˜‚, nikasema hizi ibada za NEW AGE zimeingiliwa aseee!.
 
Hahahaha
Mungu atusaidie. Mimi nikiona mtu anatumia mimbari kufanya siasa, au haeleweki au inaonekana hajajiandaa.
Bila kujali hadhi yake, huwa nafunguq zaburi yoyote nasoma ili nisitoke kapa.

Ibada ni kitu siriasi. Niafadhali uache uchungaji au urudishe nafasi ya uzee wa kanisa ikiwa unaona huwezi kulisha kundi utafute kazi nyingine. Unaweza kujizolea laana kwako na familia yako.
 
Baadhi ukiwaeleza hivyo (kuacha nafasi) wanakuangalia alafu unasikia 'huyu katumwa au kapotea".

Sababu wanajua hiyo nafasi lazima aitendee kazi hata kama anachemka.

Wikii hii kuna kitu nilisoma sehemu kuhusu kutumwa na Mungu kufanya kazi, nikakumbuka mtume Issa wkt anachagua wanafunzi wake 12, wengine aliwaachavakachagua anaoona hawa wataenda popote but siyo kila mtu anaweza kuwa mwanafunzi.
 
Ni kweli. Tuzidi tunkuombeana na kuwaombea watekeleze wajibu wao hasa kwa watu ambao wanafunga safari kuja kukutana na Mungu alafu msemaji unaleta vichekesho, mizaha na masihara mimbarini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…