Kumuongelesha kwa heshima, kumdinya vizuri is it too much ?Au sio!,
Kuna vitu labda uwe jobless ndio utakuwa na muda wa kufanya hayo yote kila siku.
Watu wanaondoka saa 11 alfajiri alafu, anarudi saa 5 usiku na bado afanye yote hayo?.
Mkuu am 35+ with a well paying job in maritime industry , alafu naongea kwa faida ya wote wanawake wana visasi sana. kuna jamaa wa Dom anamuita mke wake zezeta kweli mtu ana bachelor ya nursing unamuita zezeta tena mkeo.Kijana kwa maelezo yako kama wewe sio jobless basi hujaoa siku ukioa uje usome tena uzi wako cha pili chunga sana huna muda mrefu utakunjuliwa " kisoda" yani kama mume yuko mbali wewe inakuuma au kukuhusu nini? Chunga sana kuingia katika ndoa za watu
Ila hujaoa sema kweli? Ukioa utawaelewa vizuri sana wanawakeMkuu am 35+ with a well paying job in maritime industry , alafu naongea kwa faida ya wote wanawake wana visasi sana. kuna jamaa wa Dom anamuita mke wake zezeta kweli mtu ana bachelor ya nursing unamuita zezeta tena mkeo.
Mtu hawezi kurudi saa tano usiku, ale, aoge, asalimie na kujibu hoja mbili tatu, hiyo ni saa tano nusu saa sita kasoro, na bado anatakiwa aamke kumi na nusu au moja kutafuta kulisha hao watu.Alafu unataka afanye hayo mambo yalioyoandikwa humo ndani, no way.Kumuongelesha kwa heshima, kumdinya vizuri is it too much ?
Una hasira una mafumbo... Hahaha relax sweetheart
Hasira zanini love???ππππUna hasira una mafumbo... Hahaha relax sweetheart
Nimeokoka...Hasira zanini love???ππππ
Mtu anatumia kiungo chake kwanini umpangie???ππ€π€π€
Wewe ndo unahasira namie sio kwa kasi hio π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π
Khakhakhaaa nacheka kama mazuri vile!!
Nimekaa paleeeee πππ!Nimeokoka...
Napenda tu kuchokoza watu...Nimekaa paleeeee πππ!
Kama mi navopenda kukuchokoza πππ!!Napenda tu kuchokoza watu...
Achana na Mandingo kajifunze Kwa LTKipengele cha hela mmekitoa?
1. Mpe hela
2. Mpe hela
3. Mpe hela
4. Mpige mti kama mandingo