Fanya haya mwanamke wako asikusaliti

Mapenzi hayana formula.

Aliyewashauri vijana kuoa,ndoa yake imevunjika juzi tu.

Yule anayefundisha mbinu za kumfikisha kilelen mwanamke, mkewe vijana wanaruka nae.

Tufanye kazi kwa bidii.
Nakazia hapa
 
yamenikuta na mimi, wa[i nitapata mganga mzuri manake nachezewa akiri. serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…