fanya hii kazi wakat unasubir kupata Ajira inalipa sana

fanya hii kazi wakat unasubir kupata Ajira inalipa sana

networker

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2011
Posts
570
Reaction score
216
kwa anetaka uwakala wa airtel
money piga hizi namba
0717474257 (usishangae namba ni
ya tigo .mi nimeajiriwa .hvyo
naendelea kutumia namba yangu ya
tigo though workng 4 airtel) .kinacho itajika ni copy ya
leseni ya biashara , kitambulisho Tin
namba na barua toka kwa mtendaji,
bei ya kuanzai kufungua account
yako kama wakala ni 3000 kwa
biashara ndogo na 300000 kwa biashara kubwa. wakala analipwa
kwa kamishen ya 200 kuweka na
250 kutoa kwa kichwa kimoja / kwa
mteja moja.hii inamana ukipata watu
100 kwa siku unazidisha 100 mara
200 au 250 inakuwa ndio kamishen yako kwa siku ukipata watu 50
unazidisha tu unapokea kamishen
yako .zingatia hyo kamishen sio
fixed mteja akichukua au akiweka
hela kubwa kamishen ina ongezeka
sawa sawa na kiwango cha hela ya mteja. Hyo 200 na 250 ni kwa
kiwango cha 900 hadi 4999
 
poa mkuu, nina mpango na tigo pesa na mpesa,...nitafikiria na hyo airtel money
 
hata mimi ndo mpango wangu kwa mwaka huu. ntakutafuta
 
A must du t coz hiz ndo ajra alzoahd kikwete kw vjana. Thnx brada.
 
Thanks ngoja kuna mtu ni m-kontakti anisadie zaidi na zaid ili vijana wangu wajipatie japo vijisenti
 
You are very eloquent net worker. Big up.
 
kama unafanya tigo pesa, naomba contact zao. Ila hawa jamaa mimi huwa siwaelewi, ili wakupe mkataba kufanya uwakala wao wanataka leseni ya kufanyia biashara, wakati ukienda manispaa kukata leseni ya biashara hiyo wanakwambia ulete mkataba wako na airtel ndipo wakupe leseni. Tutatoka kweli?
 
Thanx 4info,
Hivi kama mtu akitoa/kuweka kuanzia 5000-9,999 na 10,000-99,999.
Kamisheni hapo inakuwaje mkuu.
Naomba ufafanuzi.
 
Back
Top Bottom