Fanya hivi biashara

Mnyiramba

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2022
Posts
1,141
Reaction score
3,119
Wengi wetu tukitaka kuanza biashara wazo la kwanza kabisa tunawaza faida!
Ndio ni faida mtu wangu!
Lakini kwa mfanyabiashara aliyekomaa kabla hajaanza biashara anafikiria kwanza ni kwa namna gani mtaji wake utakuwa salama!
Sasa hapa ndio nafananisha mpira na biashara!
Kwenye mpira timu yeyote inayojitambua ni lazima wafikirie kwanza ni kwa namna gani watazuia wasifungwe kabla ya kuwaza ni kwa namna gani watapata goli!
Hivi ushawahi kujiuliza ni kwanini matapeli wanapata watu wengi sana wa kuwatapeli!?,ni kwa vile watu wengi wamejikita zaidi kwenye kufikiri faida kuliko risk!
Kwenye biashara tumia sana mfumo huu kwa wale wanaoelewa maswala ya mpira 3-4-3,ama 5-3-2 ama 5-5[emoji851]!,ama 1-9[emoji2956]!
Hivi unajua ni kwanini wachaga huwa hawafilisiki kijinga?(na wanyiramba pia),mchaga yupo radhi akaibe ili afidie kile alichopoteza ndio maana ni ngumu sana kufilisika kwasababu mtaji ni jambo la kuzingatia kuliko kitu chochote kwenye biashara!
N:B mimi sio shigongo usipoelewa mshamba haelewi!
 
Mayu ulikitilye itai taiii... songela zigi zigi kwa masigo mako na maza. Ikaa peee? [emoji1][emoji117]
 
Mayu ulikitilye itai taiii... songela zigi zigi kwa masigo mako na maza. Ikaa peee? [emoji1][emoji117]

Wasongela Dani!,matundo si makaku ne lekilimilya!
 
Ukitaka kulinda mtaji wako ni bora usifanye biashara. Biashara ina kupoteza na kupata.

La muhimu fanya uchambuzi yakinifu kwenye biashara utakayoifanya ili usipoteze kabisa mtaji wako
 
Kushinda Points 3
Kutofungwa Draw point Moja

Kwenye ligi huwezi kushinda (kuchukua kombe) kwa kutokufungwa pekee (Draw)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…