Fanya hivi ili simu yako ikiibwa au kupotea uipate kirahisi

Fanya hivi ili simu yako ikiibwa au kupotea uipate kirahisi

Whatsapp au Messenger? Serious?

By the way Mwizi anayejielewa akiiba simu hata ufanyeje huipati abadani.
only best way hapa ni kuhifadhi IMEI ambayo unaweza watumia TCRA waweze track or mobile provider also can do that, hio location mpk mtu awe na data na mwizi wwte yule lazima azime simu, change laini.
 
only best way hapa ni kuhifadhi IMEI ambayo unaweza watumia TCRA waweze track or mobile provider also can do that, hio location mpk mtu awe na data na mwizi wwte yule lazima azime simu, change laini.
TCRA hawahawa wahangahike kuifuatilia simu yako😆😆😆😆
Labda kama umemtukana Rais
 
Hivi simu ya mkopo hakuna anayeweza kufanya manouver ili iendelee kutumika bila kulipia? Wenyewe wakopeshaji wanakuhakishia kwamba wakishafunga hakuna kiumbe anaweza kufungua katika sayari hii.
 
Back
Top Bottom