Fanya hivi ili simu yako ikiibwa au kupotea uipate kirahisi

Whatsapp au Messenger? Serious?

By the way Mwizi anayejielewa akiiba simu hata ufanyeje huipati abadani.
only best way hapa ni kuhifadhi IMEI ambayo unaweza watumia TCRA waweze track or mobile provider also can do that, hio location mpk mtu awe na data na mwizi wwte yule lazima azime simu, change laini.
 
IMEI inabadirishwa vizuri tu.
 
only best way hapa ni kuhifadhi IMEI ambayo unaweza watumia TCRA waweze track or mobile provider also can do that, hio location mpk mtu awe na data na mwizi wwte yule lazima azime simu, change laini.
TCRA hawahawa wahangahike kuifuatilia simu yako๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Labda kama umemtukana Rais
 
Mwizi anayejitambua kuwa hapaswi kukamatwa kiboya, huwa haibi smart phone.
 
Hivi simu ya mkopo hakuna anayeweza kufanya manouver ili iendelee kutumika bila kulipia? Wenyewe wakopeshaji wanakuhakishia kwamba wakishafunga hakuna kiumbe anaweza kufungua katika sayari hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ