Fanya hivi ili uweze kuperuzi mitandao iliyozuiwa (blocked) bila ya kudownload VPN kwenye Kompyuta yako

Baada ya kufikisha 5GB wamekata switch

View attachment 3488543
- Kwa unlimited, tumia WARP by cloudflare, fuatisha haya maelekzo hapa: Nyie watu wa JF nipe msaada, mbona mnakuwa wakorofi?
1760468058594.png
 
- Kwa unlimited, tumia WARP by cloudflare, fuatisha haya maelekzo hapa: Nyie watu wa JF nipe msaada, mbona mnakuwa wakorofi?
Mimi Warp hii ni siku ya tatu inagoma ku connect inaishia hapo hhapo kwenye connecting
1760516823178.png

Na nilijaribu kuangalia kwenye website yao kucheki list ya server nikaona wamei mark Dar kuwa traffic server zake zimeelekezwa kwenda location nyingine. Sijajua hii ina maanisha nini.
1760516799298.png

Saizi natumia hide me, inafanya vizuri na iko very secure zaidi ya Warp, kwasababu hii inaficha ip address yako tofauti na Warp
1760517015130.png
 
Kwa utundu wangu wooote sijawahi jua kama edge wanatoa free vpn. Mara zote nimekuwa niki download extensions tu ambazo nazo zimekuwa na changamoto ya speed.

Leo kupitia bandiko nimeongeza maarifa mapya na kwa kweli hii ni elimu nzuri iliyokuja katika muda sahihi mno. Tunashukuru.
Operamini miaka sasa wana inbuilt VPN pia... Bytha simu na computers toka zamani zina mfumo wa inbuilt VPN pia ukipata credentials kama L2TP unajaza unapata VPN simple tu, huitaji ku download apps za VPN..
 
Mimi Warp hii ni siku ya tatu inagoma ku connect inaishia hapo hhapo kwenye connecting
View attachment 3488945

Na nilijaribu kuangalia kwenye website yao kucheki list ya server nikaona wamei mark Dar kuwa traffic server zake zimeelekezwa kwenda location nyingine. Sijajua hii ina maanisha nini.
View attachment 3488944

Saizi natumia hide me, inafanya vizuri na iko very secure zaidi ya Warp, kwasababu hii inaficha ip address yako tofauti na Warp
View attachment 3488947
Zimekua rerouted kwa sababu bongo si mitandao baadhi iko censored so server ya Dar haina msaada ku unblock, unataka ku unblock JamiiForums, X, etc..na IP inasoma Dar? Obviously wako aware na hii censorship ya mitandao hao sio waunga juhudi za madikteta weusi..
 
Warp cloud flare iko fasta sana ila sometime inakubali na sometime inagoma, siku mbili tatu ilikataa lkn leo naishi nayo
 
Operamini miaka sasa wana inbuilt VPN pia... Bytha simu na computers toka zamani zina mfumo wa inbuilt VPN pia ukipata credentials kama L2TP unajaza unapata VPN simple tu, huitaji ku download apps za VPN..
Isu ni unlimited?

Ningeamuua kuepusha yote ningetumia TOR ila nayo speed yake hainifurahishi halafu site nyingi zinagoma
 
Back
Top Bottom