generationn Z
JF-Expert Member
- Jun 30, 2025
- 454
- 748
Kabisaa👏🏻Uzi mzuri sana mkuu, vipi kwenye simu haiwezekani??
- Kwa unlimited, tumia WARP by cloudflare, fuatisha haya maelekzo hapa: Nyie watu wa JF nipe msaada, mbona mnakuwa wakorofi?
Mimi Warp hii ni siku ya tatu inagoma ku connect inaishia hapo hhapo kwenye connecting- Kwa unlimited, tumia WARP by cloudflare, fuatisha haya maelekzo hapa: Nyie watu wa JF nipe msaada, mbona mnakuwa wakorofi?
Operamini miaka sasa wana inbuilt VPN pia... Bytha simu na computers toka zamani zina mfumo wa inbuilt VPN pia ukipata credentials kama L2TP unajaza unapata VPN simple tu, huitaji ku download apps za VPN..Kwa utundu wangu wooote sijawahi jua kama edge wanatoa free vpn. Mara zote nimekuwa niki download extensions tu ambazo nazo zimekuwa na changamoto ya speed.
Leo kupitia bandiko nimeongeza maarifa mapya na kwa kweli hii ni elimu nzuri iliyokuja katika muda sahihi mno. Tunashukuru.
Zimekua rerouted kwa sababu bongo si mitandao baadhi iko censored so server ya Dar haina msaada ku unblock, unataka ku unblock JamiiForums, X, etc..na IP inasoma Dar? Obviously wako aware na hii censorship ya mitandao hao sio waunga juhudi za madikteta weusi..Mimi Warp hii ni siku ya tatu inagoma ku connect inaishia hapo hhapo kwenye connecting
View attachment 3488945
Na nilijaribu kuangalia kwenye website yao kucheki list ya server nikaona wamei mark Dar kuwa traffic server zake zimeelekezwa kwenda location nyingine. Sijajua hii ina maanisha nini.
View attachment 3488944
Saizi natumia hide me, inafanya vizuri na iko very secure zaidi ya Warp, kwasababu hii inaficha ip address yako tofauti na Warp
View attachment 3488947
Inakubali kaka wewe twanga tuHIi nmejaribu inafanya kazi,vp hakuna namna ya ku access pia X zamani Twitter bila VPN?
Isu ni unlimited?Operamini miaka sasa wana inbuilt VPN pia... Bytha simu na computers toka zamani zina mfumo wa inbuilt VPN pia ukipata credentials kama L2TP unajaza unapata VPN simple tu, huitaji ku download apps za VPN..