Fanya hivi kukuza mauzo ya bidhaa zako na kujisogeza zaidi kwenye mafanikio mwaka 2025

Fanya hivi kukuza mauzo ya bidhaa zako na kujisogeza zaidi kwenye mafanikio mwaka 2025

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936
✓✓2025 MWAKA MPYA NA MAMBO MAPYA.
∆ Huu ni mwaka wako wa mafanikio sasa usichelewe fanya haya yafuatayo ili uweze kufika malengo yako mapema

~Tangaza biashara yako kwa namna nyingine kabisa ambayo itakufanya kuwafikia wateja wapya kila siku

~Tengeneza matangazo ya sauti na picha wateja wengine hawasikii sauti kwa urahisi ila wakiona picha Huwa wanaelewa huduma yako unayotoa

~Tambua wateja wako kwa kupata ushauri wa kibiashara kutoka kwa wataalamu na watafiti wa maswala ya masoko.

∆∆ Hizi ni huduma ambazo naweza kukusaidia kuzipata.
1} Ushawishi wa mteja ili aweze kununua bidhaa.

2} Kuitangaza biashara yako na kutafuta wateja wapya

3} Kutengeneza matangazo ya sauti na picha kwa ajili ya mitandao na kuweka kwenye biashara yako

4} Ushauri wa picha za bidhaa ambazo zinaweza kusambaa zaidi

5} Kutumia mitandao mikubwa kama Alibaba na Google kuangalia bidaa yako au huduma yako inatafutwa na watu wangapi duniani.
 
To yeye hakikisha mwaka huu unaanza biashara, hata vibama, funga nenda navyo shuleni.

Nimesoma Isanga Primary, walimu walikuwa wanatugeuza kuwa wateja wao, usione aibu. Mdogo mdogo utajikuta uko mbali
 
To yeye hakikisha mwaka huu unaanza biashara, hata vibama, funga nenda navyo shuleni.

Nimesoma Isanga Primary, walimu walikuwa wanatugeuza kuwa wateja wao, usione aibu. Mdogo mdogo utajikuta uko mbali
Ha ha ha,kunabiashara zinakuongezea umaskini mkuu....
Asante kwa kujali...maisha niliyopitia miaka iliyopita yamenifunza kusimama mwenyewe na kufanya maamuzi ambayo kiukweli yamekuwa mazuri kwangu na wanangu.Nitasimama mwenyewe daima
 
Back
Top Bottom