Fanya hivi kuwapigia simu kwa haraka watu unaowasiliana nao mara kwa mara

Fanya hivi kuwapigia simu kwa haraka watu unaowasiliana nao mara kwa mara

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Oli otya leero?

Watu wengi tunatumia simu katika maisha yetu ya kila siku, kuna watu ambao tunawasiliana nao mara kwa mara lakini wengine hulazimika kutafuta namba zao kwenye contacts au calls record.

Sasa hapa hakupa njia rahisi ambayo unaweza kumpigia tu bila njia yote hiyo.

Nenda kwenye phone dialer kama inavyoonesha hapa

1s.jpg


2: Press and hold namba hapo unayohitaji, kuanzia 2 hadi 9.

3: Itakuletea option ya kuassign namba unayotaka, kama hivi

2s.jpg


4: Ingiza namba unayotaka na itakuwa tayari.

Hivyo ukitaka kumpiga labda ni mwenza/mzazi basi utaingia kwenye dialer utapress na kuhold namba husika na hapo utakuwa umempigia.

5: Njia nyingine, utaenda kwenye phone dialer, utabonyeza vidoti vitatu itakuleta machaguo, chagua speed dial numbers halafu weka mapendekezo yako kwa kila namba (2-9).

3s.jpg


Hii inaitwa Speed Dial ambayo itakusaidia kuwasiliana na watu wako kwa haraka sana na kusave muda.

Webale nnyo
 
Back
Top Bottom