Huu ni msemo wetu mabachela pale ambapo unaona kabisa uwezekano wa kupika siku hiyo ni chini ya 50%Tupia msemo ambao ulikuchekesha kinoma noma ili wote tufurahi na kidogo tupunguze stress kishkaji.
Minafsi msemo ulioniachaga hoi ni huu wa
'Ujinga ni kutumia masaa mawili kypika ,halafu unatumia nusu saa tuu kula msosi'.