Fanya hivi tufurahi sote..

Fanya hivi tufurahi sote..

benaboy

Member
Joined
Oct 24, 2015
Posts
42
Reaction score
32
Tupia msemo ambao ulikuchekesha kinoma noma ili wote tufurahi na kidogo tupunguze stress kishkaji.

Minafsi msemo ulioniachaga hoi ni huu wa

'Ujinga ni kutumia masaa mawili kypika ,halafu unatumia nusu saa tuu kula msosi'.
 
Huu ni msemo wetu mabachela pale ambapo unaona kabisa uwezekano wa kupika siku hiyo ni chini ya 50%
 
Kuku wako manati ya nini??
Mbuzi kala reli!
Ukisema we kiazi,nikisema mi hogo ni mzizi!!
 
Chakula ule wewe akila mwingine sio kitamu hata iwe asali.
 
Pambana na hali yako, mwingine naogopa baba mwenye nchi kakataza
 
Back
Top Bottom