Fanya hivi ukiona mwenza wako kabadilika

Fanya hivi ukiona mwenza wako kabadilika

Wengi hawalijui hili, wanafikiri maumivu ni kwenye kuachana pekee.
Imagine mtu unampenda, ghafla anakubadilikia bila kusema chochote na wewe ukijitazama huna kosa!
Unaweza kuwa chizi hivihivi!

Ni bora utamkiwe kuachana kuliko kubadilikiwa ukiwa hujui hatma ni nini!
Ni kweli bora mtu akutamkie yamekwisha kuliko kuishi na mtu aliebadilika na yeye hajali wala aoni hilo, ni maumivu makali mno na hakuna ishu ngumu kwenye mahusiano kama kumrudisha kwenye reli mwenza aliebadilika kwa sababu wengi hubadilishwa na watu wapya wanaowapata.

Sasa hapa usiombe ndio uwe umefall mazima.
 
Ilishawahi kunikuta
Sikumuuliza shida nini wala nini....nilichofanya nikafululiza kumpa kei bila ya kuniomba,mbona penzi likaanza kuwa jipya.... anatext na kupiga kila wakati

#haters watakuja kuniambia kei ndio kitu pekee nilichoona cha kuoffer 🤭
Wewe unajua kupiga kwenye mshono. Huyo mumeo amekupata sana🙌

Shem Nifah wewe huwa unafanya kama Joanah ?
 
Ni kweli bora mtu akutamkie yamekwisha kuliko kuishi na mtu aliebadilika na yeye hajali wala aoni hilo, ni maumivu makali mno na hakuna ishu ngumu kwenye mahusiano kama kumrudisha kwenye reli mwenza aliebadilika kwa sababu wengi hubadilishwa na watu wapya wanaowapata.

Sasa hapa usiombe ndio uwe umefall mazima.
Kama umefall mazima vidonda vya tumbo vinakuhusu...
 
Ilishawahi kunikuta
Sikumuuliza shida nini wala nini....nilichofanya nikafululiza kumpa kei bila ya kuniomba,mbona penzi likaanza kuwa jipya.... anatext na kupiga kila wakati

#haters watakuja kuniambia kei ndio kitu pekee nilichoona cha kuoffer [emoji2960]
Duh! Nimekupnda Bure kabisa! Kwa hakika ww ni Zaidi ya Daktari.
 
Kwa kawaida hakuna mahusiano yanayokosa changamoto hata kama mpo ndani ya ndoa, vikombe kabatini tu vinagongana sembuse binadamu wawili waliokutana ukubwani na wote wakiwa na meno 32.

Huwa inatokea kuna wakati mnafurahia sana mapenzi yenu lakini pia kuna wakati shetani anaingilia kati na kuanza kuwabadirisha.

Kwa wale ambao hawapo ndani ya ndoa na kila mtu anaishi kwake silaha kubwa kabisa ya mahusiano ni mawasiliano mana bila mawasiliano hakuna mapenzi.

Kuna kipindi mawasiliano kati yenu yanaanza kuwa hafifu yani kama mlikua mnawasiliana asubuhi mchana na jioni mnajikuta kwa siku mnawasiliana tu mara moja tena sms hazijibiwi kwa wakati, yaani unatuma sms saa moja asubuhi lakini mwenzi wako anakuja kuijibu saa saba mchana kwa kisingizio tu kwamba alikua busy.

Kuna msemo unasema no one is busy, it depends on the priority.Kwako anaweza akawa busy lakini kuna mwenzako anasumbuliwa na sms mpaka anaona kero.

Inapotokea hali ya namna hii ewe dada ewe kaka fanya yafuatayo;

1. Kaa chini na mwenzi wako muulize kuna tatizo gani mpaka mawasiliano yenu yameyumba na hayapo kama zamani, mana inawezekana ukamuelewa vibaya kumbe mwenzi wako ana tatizo linamsibu ambalo huenda ungemsaidia hata kwa ushauri.

2. Kama atakuambia hakuna tatizo ni ubize tu wa hapa na pale basi yakupasa umueleze wazi kwamba hufurahishwi na hiyo hali na unahitaji kuona mabadiriko kwenye mawasiliano, ubize wa mwanamke au mwanaume unaweza ukawa wa kweli au sio kweli na mara nyingi hutokea pale ambapo either mwanamke ameanza kutongozwa na njemba mpya au mwanaume amepata namba ya mwanamke mpya kwahiyo muda mwingi anautumia kuwasiliana na huyo mtu mpya.

3. Ukishamkanya mara mbili au mara tatu kwa siku tofauti tofauti na ukiona anarudia yaleyale uliyomkataza basi hiyo inatosha sana, huna sababu ya kuendelea kila siku kumkumbusha wajibu wake.Hizo zinakua ni red flags za waziwazi.

4. Kwakua umemuonya na hataki kubadirika basi wewe nenda vile anavyotaka yeye, kama umemtumia ujumbe saa 2 asubuhi na akaja kuujibu saa 10 jioni wewe wale usihoji na badala yake mjibu tu vizuri lakini usioneshe tena kukasirishwa na hilo suala.

5. Wanaume kila siku tunatongoza na wanawake kila siku wanaombwa namba za simu na wanatongozwa pia, shida ni kwamba mwanamke au mwanaume hawezi kukuambia waziwazi kwamba tuvunje mahusiano mana anakua hajiamini kama huyo aliemkubalia ni mtu sahihi kwake kama ulivyo wewe au la.

Mara nyingi watu wana tabia ya kulinganisha kwamba je huyu na yule tofauti yao ni nini, kuna mwanaume unakuta ana kila kitu lakini kawapanga wanawake zaidi ya 20 na kiasi kwamba kwa mwanamke anaehitaji mtu serious kwenye mahusiano hawezi kudumu nae na badalaa yake atarudi mbio kwa mtu wake wa awali.

5. Usiwe mtu wa kuombaomba msamaha kila mara kwa mwenzi wako hata kwa kosa ambalo unajua hukufanya mana kwa kufanya hivyo ni kama unapandisha 'ego' yake.

Mbio za sakafuni siku zote huishia ukiongoni mana mwanamke au mwanaume anaweza akampata mwenzi mpya ilhali yupo kwenye mahusiano lakini mwisho wa siku anakuja kugundua kumbe wewe ni bora kuliko huyo aliempata.

Mwanamke anaweza akawa mzuri sana lakini akawa anachukulika kirahisi na kila anayemtongoza vilevile kiasi cha thamani yake kushuka na pia mwanaume anaweza akawa na kila kitu pesa, nyumba na gari zuri la kutembelea lakini unakuta ana wanawake wengi kupita kiasi anawatumia tu na hana mpango wa kuoa hata mmoja.

Kwa leo naomba niishie hapa ila zingatia sana hizo nondo zangu 5 hapo juu na jifunze kusoma mabadiriko ya mwenzi wako, sio kila kila jambo ni la kupuuzia.
Nyamaza fanya mambo yako atarudi mwenyewe
 
Punguza kusema ukweli mkuu 😂
Siku hizi mtu akinibadilikia na mimi nabadilika mpaka yeye mwenyewe atashangaa kulikoni.
Wewe mwenyewe unasema ukweli mpaka naogopa, itakuwa tumepitia mapito sawa.

Labda kama hujafall, mimi huyu wa sasa ataniuaaaa.
Vidonda vya tumbo nitameza dawa tutaendelea 😆😆
 
Ya nini nijitese na jitu nililokutana nalo ukubwani.

Ukiuchuna na mimi nanyuti mwisho wa siku tunaachana bila taarifa maisha yanaendelea.

Kwa wale ambao kula yake inamhitaji Mwanaume inabidi wafanye zaidi ya kawaida maana vinginevyo wanaishi vipi?!

Tena usijaribu kutaka kushindana na Mwanaume utaishia kuwa victim.
 
Wewe mwenyewe unasema ukweli mpaka naogopa, itakuwa tumepitia mapito sawa.

Labda kama hujafall, mimi huyu wa sasa ataniuaaaa.
Vidonda vya tumbo nitameza dawa tutaendelea 😆😆
Nimepitia milima na mabonde tena yenye miiba mikali ila nikatoka salama japo niliyumba haswa.

😂 huyo mwamba anabahati inaonekana unamkubali sana, comments zako zinadhihirisha hilo. Angalia yasikuue
 
Nimepitia milima na mabonde tena yenye miiba mikali ila nikatoka salama japo niliyumba haswa.

😂 huyo mwamba anabahati inaonekana unamkubali sana, comments zako zinadhihirisha hilo. Angalia yasikuue
Mwamba kama mwamba 😆 😆
Sasa maisha yangu yote huyu mwamba ndio namuelewa zaidi, wala hayaniui, labda tuuane😆

Pole, natumai upo pema sasa.
 
Mwamba kama mwamba 😆 😆
Sasa maisha yangu yote huyu mwamba ndio namuelewa zaidi, wala hayaniui, labda tuuane😆

Pole, natumai upo pema sasa.
Basi angalieni msiuane wakuu 😂

Mimi bado vita vinaendelea, chuma kwa chuma
 
Nafikiri hayo yote yanategemeana sana na umri pia.
Kuna umri ukifika mapenz yanakua sio kitu cha kuumiza kichwa haswa kwa mtu anayekupasua kichwa.
 
Basi angalieni msiuane wakuu 😂

Mimi bado vita vinaendelea, chuma kwa chuma
Kuliko kuachana, bora tuuane tuu 🤣🤣🤣

Mungu ataleta neema upande wako, hata mimi nilipambana hadi nilipoona inatosha nikarudi kwa mwamba wangu!
 
Kuliko kuachana, bora tuuane tuu 🤣🤣🤣

Mungu ataleta neema upande wako, hata mimi nilipambana hadi nilipoona inatosha nikarudi kwa mwamba wangu!
Na mkiuana hamuozi, hamna baya 😂

Kumbe ulikimbia ila mwshoni ukarudi pale pale. Kwangu ikawe heri nipate tulizo la nafsi
 
Ilishawahi kunikuta
Sikumuuliza shida nini wala nini....nilichofanya nikafululiza kumpa kei bila ya kuniomba,mbona penzi likaanza kuwa jipya.... anatext na kupiga kila wakati

#haters watakuja kuniambia kei ndio kitu pekee nilichoona cha kuoffer 🤭
Safi sana
 
Ilishawahi kunikuta
Sikumuuliza shida nini wala nini....nilichofanya nikafululiza kumpa kei bila ya kuniomba,mbona penzi likaanza kuwa jipya.... anatext na kupiga kila wakati

#haters watakuja kuniambia kei ndio kitu pekee nilichoona cha kuoffer [emoji2960]
Sometime wanaume tukibakiwa na upwiru tunakua hovyo hovyo. Naona ulimkamua jamaa zote mpaa akawa mpya. Hongera
 
Ilishawahi kunikuta
Sikumuuliza shida nini wala nini....nilichofanya nikafululiza kumpa kei bila ya kuniomba,mbona penzi likaanza kuwa jipya.... anatext na kupiga kila wakati

#haters watakuja kuniambia kei ndio kitu pekee nilichoona cha kuoffer [emoji2960]
Mwanzoni ulikuwa unampa kei kwa mwezi mara ngapi? Kuna wanawake wengine wachoyo wa kei zao utakuta wanampa kei mwanaume wake kwa mwaka mara moja.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom