Fanya hivi ukiona mwenza wako kabadilika

Ni kweli bora mtu akutamkie yamekwisha kuliko kuishi na mtu aliebadilika na yeye hajali wala aoni hilo, ni maumivu makali mno na hakuna ishu ngumu kwenye mahusiano kama kumrudisha kwenye reli mwenza aliebadilika kwa sababu wengi hubadilishwa na watu wapya wanaowapata.

Sasa hapa usiombe ndio uwe umefall mazima.
 
Wewe unajua kupiga kwenye mshono. Huyo mumeo amekupata sanaπŸ™Œ

Shem Nifah wewe huwa unafanya kama Joanah ?
 
Kama umefall mazima vidonda vya tumbo vinakuhusu...
 
Duh! Nimekupnda Bure kabisa! Kwa hakika ww ni Zaidi ya Daktari.
 
Nyamaza fanya mambo yako atarudi mwenyewe
 
Punguza kusema ukweli mkuu πŸ˜‚
Siku hizi mtu akinibadilikia na mimi nabadilika mpaka yeye mwenyewe atashangaa kulikoni.
Wewe mwenyewe unasema ukweli mpaka naogopa, itakuwa tumepitia mapito sawa.

Labda kama hujafall, mimi huyu wa sasa ataniuaaaa.
Vidonda vya tumbo nitameza dawa tutaendelea πŸ˜†πŸ˜†
 
Ya nini nijitese na jitu nililokutana nalo ukubwani.

Ukiuchuna na mimi nanyuti mwisho wa siku tunaachana bila taarifa maisha yanaendelea.

Kwa wale ambao kula yake inamhitaji Mwanaume inabidi wafanye zaidi ya kawaida maana vinginevyo wanaishi vipi?!

Tena usijaribu kutaka kushindana na Mwanaume utaishia kuwa victim.
 
Wewe mwenyewe unasema ukweli mpaka naogopa, itakuwa tumepitia mapito sawa.

Labda kama hujafall, mimi huyu wa sasa ataniuaaaa.
Vidonda vya tumbo nitameza dawa tutaendelea πŸ˜†πŸ˜†
Nimepitia milima na mabonde tena yenye miiba mikali ila nikatoka salama japo niliyumba haswa.

πŸ˜‚ huyo mwamba anabahati inaonekana unamkubali sana, comments zako zinadhihirisha hilo. Angalia yasikuue
 
Nimepitia milima na mabonde tena yenye miiba mikali ila nikatoka salama japo niliyumba haswa.

πŸ˜‚ huyo mwamba anabahati inaonekana unamkubali sana, comments zako zinadhihirisha hilo. Angalia yasikuue
Mwamba kama mwamba πŸ˜† πŸ˜†
Sasa maisha yangu yote huyu mwamba ndio namuelewa zaidi, wala hayaniui, labda tuuaneπŸ˜†

Pole, natumai upo pema sasa.
 
Mwamba kama mwamba πŸ˜† πŸ˜†
Sasa maisha yangu yote huyu mwamba ndio namuelewa zaidi, wala hayaniui, labda tuuaneπŸ˜†

Pole, natumai upo pema sasa.
Basi angalieni msiuane wakuu πŸ˜‚

Mimi bado vita vinaendelea, chuma kwa chuma
 
Nafikiri hayo yote yanategemeana sana na umri pia.
Kuna umri ukifika mapenz yanakua sio kitu cha kuumiza kichwa haswa kwa mtu anayekupasua kichwa.
 
Basi angalieni msiuane wakuu πŸ˜‚

Mimi bado vita vinaendelea, chuma kwa chuma
Kuliko kuachana, bora tuuane tuu 🀣🀣🀣

Mungu ataleta neema upande wako, hata mimi nilipambana hadi nilipoona inatosha nikarudi kwa mwamba wangu!
 
Kuliko kuachana, bora tuuane tuu 🀣🀣🀣

Mungu ataleta neema upande wako, hata mimi nilipambana hadi nilipoona inatosha nikarudi kwa mwamba wangu!
Na mkiuana hamuozi, hamna baya πŸ˜‚

Kumbe ulikimbia ila mwshoni ukarudi pale pale. Kwangu ikawe heri nipate tulizo la nafsi
 
Safi sana
 
Sometime wanaume tukibakiwa na upwiru tunakua hovyo hovyo. Naona ulimkamua jamaa zote mpaa akawa mpya. Hongera
 
Mwanzoni ulikuwa unampa kei kwa mwezi mara ngapi? Kuna wanawake wengine wachoyo wa kei zao utakuta wanampa kei mwanaume wake kwa mwaka mara moja.

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…