Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 45,757
- 246,786
Usitutoe kwenye line.Mkiambiwa mchome sio moto jamani ni kuvieka tuuh kando na kuingia mtaani kama mtu asie na shule na kupambania pesa huwezi jua kesho yako ikoje...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usitutoe kwenye line.Mkiambiwa mchome sio moto jamani ni kuvieka tuuh kando na kuingia mtaani kama mtu asie na shule na kupambania pesa huwezi jua kesho yako ikoje...
Mkuu mzee wako alishawahi kukuonyesha vyeti vyake ndio maana na wewe ukashawishika kusoma kwa bidii??Sichomi vyeti vyangu kwasababu hivi vyeti ni motisha kwa wanangu
nikiwambia nimesoma na bado nafanya hivi waelewe,maana ntakua na mifano hai
nikiwambia tu baba yenu nimesomaga ila siwaonyeshi hata ka certificate ka ushahidi
mitoto ya saivi itanisema kimoyo moyo (baba muongooo,ukute kaishia form 1 B) so
na yenyewe haitosoma,ila kwa mifano hai wakaona vyeti,wakaona Grade za mshua (wataelewa)
Naunga hoja Mkono na miguu na mwili pia Ukipenda vyote naunga hapo.
Duu noma.Mkuu miaka ya nyuma nilienda pale iringa international school ipo gangilonga na degree yangu nikaomba kazi ya kuwa nawapatia uangalizi watoto na kusafisha ofisi yani kazi yako ni kuhakikisha watoto hawapati majanga wanapocheza pia unacheza nao simple as that.....
Hii ni kazi ya mtu ambae hata degree ila niliifanya nikawa vizuri sana kiuchumi ajira ikaja badae badae ila nikiwa nimechomoka na kimtaji kizuri tu
Exactly! kwetu kuna Library na material yaliyojaa mule ni ya mshua akiwa anasomaMkuu mzee wako alishawahi kukuonyesha vyeti vyake ndio maana na wewe ukashawishika kusoma kwa bidii??
Kitu pekee kitachonifaidisha na elimu ni ajira mbali na hapo sina record yoyote kwamba nilikuwa nasoma hata picha za gradu sina na sijaenda.Exactly! kwetu kuna Library na material yaliyojaa mule ni ya mshua akiwa anasoma
kila taka taka yake aliyopewa kama zawadi ipo mle,vyeti ndio usiseme Achilia mbali
Picha zake akikabdhiwa hivyo vyeti, kauli yake kila siku alikua anatuambia anataka "tuzidi matokeo yake"
Tuvae kofia zote alizovaa kwenye zile picha zake,japo kwangu mengine yashanishinda ila vitu vyake (material ya shule)
yamechangia kiasi kikubwa sana mimi kukaza kusoma kwa bidiii,niliku sisomi ili nimpite yule jamaa class ila nilikua
nasoma nipate matokeo nimpite mshua maana matokeo yake doooooh.
Habari wasomi wote mnaoteseka na suala la ukosefu wa ajira.
Ushauri: Umehitimu chuo ngazi ya Astashahada, Stashada au Shahada na umehangaikia ajira kwa zaidi ya miezi 24 (2yrs)?.
Kama jibu ni yes. Basi chukua uamuzi mgumu wa kuchoma moto vyeti vyako kisha ingia mtaani au shambani.
Utafanikiwa zaidi kwakuwa wewe utakuwa na maarifa zaidi ya yule utakayemkuta field huko.
Sasa hivi ukiingia mtaani au shambani si rahisi kwako kufanikiwa kwakuwa utakuwa unafanya kazi huku unawazia ajira na shetani anakuonyesha marafiki zako waliopata shavu B.O.T, TRA, NCCA, TANAPA, NEC na TPA mwishobl unabaki kusononeka tu na kuanza kumlaumu mjomba kuwa hajakuvuta TISS.
Ukificha au kuvitupa vyeti vyako mbali kabisa nakuhakikishia utatoboa haraka zaidi ya yule best yako aliyekupa lift juzi na SUBARU yake huku ametinga kombati zake za JWTZ.
Povu linaruhusiwa.

AsanteExactly! kwetu kuna Library na material yaliyojaa mule ni ya mshua akiwa anasoma
kila taka taka yake aliyopewa kama zawadi ipo mle,vyeti ndio usiseme Achilia mbali
Picha zake akikabdhiwa hivyo vyeti, kauli yake kila siku alikua anatuambia anataka "tuzidi matokeo yake"
Tuvae kofia zote alizovaa kwenye zile picha zake,japo kwangu mengine yashanishinda ila vitu vyake (material ya shule)
yamechangia kiasi kikubwa sana mimi kukaza kusoma kwa bidiii,niliku sisomi ili nimpite yule jamaa class ila nilikua
nasoma nipate matokeo nimpite mshua maana matokeo yake doooooh.
Unauzaje bar!!?Mi nimeweka vyeti vyangu pembeni sasa nauza Bar, na siku zinaenda
hauna tofauti na mimi,Gradu sijawahi ona maana yake kwenye maisha ya ElimuKitu pekee kitachonifaidisha na elimu ni ajira mbali na hapo sina record yoyote kwamba nilikuwa nasoma hata picha za gradu sina na sijaenda.
Mkuu kwa hiyo ulicheza kama bata as ulivosema. Kweli maisha matamu sana na. JF haijawahi niangushaMkuu miaka ya nyuma nilienda pale iringa international school ipo gangilonga na degree yangu nikaomba kazi ya kuwa nawapatia uangalizi watoto na kusafisha ofisi yani kazi yako ni kuhakikisha watoto hawapati majanga wanapocheza pia unacheza nao simple as that.....
Hii ni kazi ya mtu ambae hata degree ila niliifanya nikawa vizuri sana kiuchumi ajira ikaja badae badae ila nikiwa nimechomoka na kimtaji kizuri tu
DaaaaaaaaaaaSi shauri vyeti kuchomwa kama asemavyo mdau, huwezi jua saa au siku vitakavyokutoa, nimemaliza Chuo 2010 (UDSM) vyeti vimenipatia ajira 2017, Am a living testimony...
Nope, yangu kiongoziUnauzaje bar!!?
kwamba ww ni muhudumu...!!?
Sichomi vyeti vyangu kwasababu hivi vyeti ni motisha kwa wanangu
nikiwambia nimesoma na bado nafanya hivi waelewe,maana ntakua na mifano hai
nikiwambia tu baba yenu nimesomaga ila siwaonyeshi hata ka certificate ka ushahidi
mitoto ya saivi itanisema kimoyo moyo (baba muongooo,ukute kaishia form 1 B) so
na yenyewe haitosoma,ila kwa mifano hai wakaona vyeti,wakaona Grade za mshua (wataelewa)
Naunga hoja Mkono na miguu na mwili pia Ukipenda vyote naunga hapo.
Mkuu unawandaa watoto kuhesabu madarasa,huu msoto wa ajira unataka na wanaowaurithi? Waandlie mahala watakapojibanza kupata riziki sio makaratasi mkuu.Habari wasomi wote mnaoteseka na suala la ukosefu wa ajira.
Ushauri: Umehitimu chuo ngazi ya Astashahada, Stashada au Shahada na umehangaikia ajira kwa zaidi ya miezi 24 (2yrs)?.
Kama jibu ni yes. Basi chukua uamuzi mgumu wa kuchoma moto vyeti vyako kisha ingia mtaani au shambani.
Utafanikiwa zaidi kwakuwa wewe utakuwa na maarifa zaidi ya yule utakayemkuta field huko.
Sasa hivi ukiingia mtaani au shambani si rahisi kwako kufanikiwa kwakuwa utakuwa unafanya kazi huku unawazia ajira na shetani anakuonyesha marafiki zako waliopata shavu B.O.T, TRA, NCCA, TANAPA, NEC na TPA mwishobl unabaki kusononeka tu na kuanza kumlaumu mjomba kuwa hajakuvuta TISS.
Ukificha au kuvitupa vyeti vyako mbali kabisa nakuhakikishia utatoboa haraka zaidi ya yule best yako aliyekupa lift juzi na SUBARU yake huku ametinga kombati zake za JWTZ.
Povu linaruhusiwa.
Weka cheti kabatini kama akiba, Ingia msituniHabari wasomi wote mnaoteseka na suala la ukosefu wa ajira.
Ushauri: Umehitimu chuo ngazi ya Astashahada, Stashada au Shahada na umehangaikia ajira kwa zaidi ya miezi 24 (2yrs)?.
Kama jibu ni yes. Basi chukua uamuzi mgumu wa kuchoma moto vyeti vyako kisha ingia mtaani au shambani.
Utafanikiwa zaidi kwakuwa wewe utakuwa na maarifa zaidi ya yule utakayemkuta field huko.
Sasa hivi ukiingia mtaani au shambani si rahisi kwako kufanikiwa kwakuwa utakuwa unafanya kazi huku unawazia ajira na shetani anakuonyesha marafiki zako waliopata shavu B.O.T, TRA, NCCA, TANAPA, NEC na TPA mwishobl unabaki kusononeka tu na kuanza kumlaumu mjomba kuwa hajakuvuta TISS.
Ukificha au kuvitupa vyeti vyako mbali kabisa nakuhakikishia utatoboa haraka zaidi ya yule best yako aliyekupa lift juzi na SUBARU yake huku ametinga kombati zake za JWTZ.
Povu linaruhusiwa.
Inatakiwa uibadilishe hiyo Elimu kuwa AKILI. Mjini kujiongeza waliojiongeza wengi sio wenye elimu.Habari wasomi wote mnaoteseka na suala la ukosefu wa ajira.