Fanya maamuzi magumu wewe msomi usiye na ajira, utafanikiwa sana

Mkuu mzee wako alishawahi kukuonyesha vyeti vyake ndio maana na wewe ukashawishika kusoma kwa bidii??
 
Duu noma.
 
Mkuu mzee wako alishawahi kukuonyesha vyeti vyake ndio maana na wewe ukashawishika kusoma kwa bidii??
Exactly! kwetu kuna Library na material yaliyojaa mule ni ya mshua akiwa anasoma

kila taka taka yake aliyopewa kama zawadi ipo mle,vyeti ndio usiseme Achilia mbali

Picha zake akikabdhiwa hivyo vyeti, kauli yake kila siku alikua anatuambia anataka "tuzidi matokeo yake"

Tuvae kofia zote alizovaa kwenye zile picha zake,japo kwangu mengine yashanishinda ila vitu vyake (material ya shule)

yamechangia kiasi kikubwa sana mimi kukaza kusoma kwa bidiii,niliku sisomi ili nimpite yule jamaa class ila nilikua

nasoma nipate matokeo nimpite mshua maana matokeo yake doooooh.
 
Kitu pekee kitachonifaidisha na elimu ni ajira mbali na hapo sina record yoyote kwamba nilikuwa nasoma hata picha za gradu sina na sijaenda.
 

Wapumzisheni graduate.
 
Kitu pekee kitachonifaidisha na elimu ni ajira mbali na hapo sina record yoyote kwamba nilikuwa nasoma hata picha za gradu sina na sijaenda.
 
Asante
 
Mkuu kwa hiyo ulicheza kama bata as ulivosema. Kweli maisha matamu sana na. JF haijawahi niangusha
 
Sichomi vyeti vyangu vya 'Ka diploma ', ila now nataka niingie k/koo nikachukue mzigo wa T-shirt Kama 25 hivi kwa bei ya 5000/- (bei ya jumla) nataka nije kuuza huku (mabwepande) kwa 9000-8000 kwa reja reja, labda pengine nitatoka ajira ni ngumu na chache, Plus kujuana!
 
Si shauri vyeti kuchomwa kama asemavyo mdau, huwezi jua saa au siku vitakavyokutoa, nimemaliza Chuo 2010 (UDSM) vyeti vimenipatia ajira 2017, Am a living testimony...
Daaaaaaaaaaa
 

Mkuu unawandaa watoto kuhesabu madarasa,huu msoto wa ajira unataka na wanaowaurithi? Waandlie mahala watakapojibanza kupata riziki sio makaratasi mkuu.
 
Weka cheti kabatini kama akiba, Ingia msituni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na sie ambao hatuna vyeti vya kuchoma tufanyaje tutoboe, tuchome kitu gani? Yaani elimu ya kijentoman tu, form six.
 
Inatakiwa uibadilishe hiyo Elimu kuwa AKILI. Mjini kujiongeza waliojiongeza wengi sio wenye elimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…