Mavimakavu
Member
- Jan 10, 2011
- 10
- 23
Ni binti mrembo anampenda MUNGU na mwenye akili ila amezaa na Mume wa mtu ambaye mwanzoni wakati penzi limepamba moto Mwanaume alimuambia Mdada aache kazi atamuhudumia na mtoto ila penzi life kwakuwa hakuwa tayari kuzaa nae.
Muda umeenda Mdada kweli alikubali kuacha kazi. Mwanaume anamtimizia mahitaji yake yote na Mdada anaishi maisha mazuri tu na mtoto anasoma shule ya maana. Ila Mbaba hataki kuwaona kabisa, ni ile kutuma pesa tu basi imeisha.
Mdada amechoka hayo maisha anataka kumove on na maisha yake. Ajikimu kipato atengeneze Familia yake. Ila anahisi kama amefungwa kiroho. Aliomba kazi hajawahi kupata tangu yupo chini ya huyo Mbaba! Amejaribu biashara ila kuna kauzito ambako anakaexperience mpaka anafikia point ya kuhisi ni kama kafungwa kimazingara.
Maana huyo mbaba ana wake wengine hivyo anahisi huenda wakawa wamemchezea.
Je, unamsaidiaje huyu Binti kwa ushauri ama chochote?
Help a Sister