Fanya ni dada yako, ungemsaidiaje?

Fanya ni dada yako, ungemsaidiaje?

Hajafungwa na mtu yoyote aache ujinga.

Kiufupi hana akili za maisha kwahiyo hana akili za kazi wala biashara. Angekuwa na akili asingekubali kuacha kazi sababu ya kikojoleo tena cha mume wa mtu!

Acheni ushirikina, ni kwamba hana akili huyo dada fullstop. Sasa mtu asiye na akili anawezaje kufanya kazi au biashara

Kwa level yake ya akili mi namshauri aendelee tu na hayo maisha, kwani mbona aliyachagua na ni poa tu si anahudumiwa kila kitu umesema? Shida nini sasa?

Tatizo dada alijua akizaa na jamaa atamteka kwa mkewe na atakuwa nae full time, stupid kabisa.
Nimependa sana mstari wa mwisho
 
Back
Top Bottom