Dr Dre
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 2,664
- 2,810
aah yani ni shida tupuKitu cha mistari minne, yeye kachapa gazeti zima hawa motivational speaker wana hatari hapo kapitishia pembeni ili kutangaza na kitabu na sio kwamba kafanya ugunduzi hapana amedesa kwa wengine yeye katafsiri kwa kiswahili kazi imeisha hana tafiti yoyote ile