Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini asiache kazi mwenyewewanakudanganya, na usithubutu kuacha kazi mwenyewe, utakuwa umeliwa.
Hivi muhusika mkuu wa mimi kurepot issue yangu ya michango kwanza mpaka leo haijapelekwa niipeleke wapi?
Kuna uchangiaji tofauti ndani ya huo mfuko wa PPF, tena uchangiaji huo upo kisheria unaruhusiwa kuchukua mda wowote, na hawautangazi... Mimi mwenyewe rafiki yangu kavuta mzigo, lakini sio wote wamepewa elimu juu ya uchangiaji huo... Sio wote!PPF wanatoa acheni kupotosha mambo, mwezi wa 7 jamaa yangu kachukua pesa zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ndipo unapoharibu sasa, Sema Rais wako mpedwa sio Rais wetu mpedwa wengine sisi huyu ni Rais wetu tu ila sio Rais wetu mpendwa. Yeye na lichama lake chakavu ndio wako nyuma ya huu upuuzi halafu eti unamuomba akusaidie are u serious? Utasubiri sana embe chini ya mnaziNamuomba Rais wetu mpendwa JPM aliangalie hili kwa upana wake ili sisi watoto wa wakulima tupate haki zetu maana nimeshazungushwa sana na hyo kampuni mpaka wananiambia nenda kokote, sasa najiuliza sisi watu wa hali ya chini tukimbilie wapi?
Ebu tuonane in-box, au niunganishe na huyo mshikaji wako ili nikachukue angalau nusu aisee...naumia sana mitaani.Kuna uchangiaji tofauti ndani ya huo mfuko wa PPF, tena uchangiaji huo upo kisheria unaruhusiwa kuchukua mda wowote, na hawautangazi... Mimi mwenyewe rafiki yangu kavuta mzigo, lakini sio wote wamepewa elimu juu ya uchangiaji huo... Sio wote!
ha ha ha ha a ha a ha ha ha hah.....eti lichama.....ha ha ha ha ha...punguza ukali wa maneno.....otherwise, nimecheka sana.Hapa ndipo unapoharibu sasa, Sema Rais wako mpedwa sio Rais wetu mpedwa wengine sisi huyu ni Rais wetu tu ila sio Rais wetu mpendwa. Yeye na lichama lake chakavu ndipo wako nyuma ya huu upuuzi halafu eti unamuomba akusaidie are u serious? Utasubiri sana embe chini ya mnazi
ha ha ha ha haha...huyo mzee yeye ndiyo ana majini....ha ha ha...cheka sanaaa.Hivi eti ni kweli kuwa pesa za kiinua mgongo zinamajini,kuna mzee nko naye hapa analalamika eti hata haelewi zimeishaishaje
mjengoni ulipita mlungula wakanyamaza kiimya, wakalifutaMbona kizaazaa kuhusu hili suala..lilileta mshikemshike hadi bungeni ila sijui kama lilipata ufumbuzi?
Huyo atakuwa alikubali kuitwa baby bila shaka.....[emoji41]Hivi eti ni kweli kuwa pesa za kiinua mgongo zinamajini,kuna mzee nko naye hapa analalamika eti hata haelewi zimeishaishaje
Fao La Kujitoa Maisha Yanguhaya ndy mambo ambayo serikali iliyoko madaraka inatakiwa kuliweka sawa maana limekuwa ni kilio cha muda mwingi sana.Huwezi kuchukua hela za wafanyakazi na kufanyia biashara kama kujenga viwanda .Siyo mbaya kama zikitumika kuzalisha lkn inatakiwa zitumike kiasi bila kuathiri huduma zake kama watu wanaostaafu au wanaacha kazi kupata kilicho chao
Nasikia sasa ivi wanatia sijui ni kwelii em ngoja nfatilie uko ppfnikweli jamani mimi pia ni muhanga wa hilo jambo tajwa hapo juu nimefanya kazi miaka 3 kampuni fulani kwanza ulipaji wa mishahara nilikuwa shida sana pia michango haiendi kwa wakati, mpaka sasa michango iliyo pelekwa ni 720,000/ out of 4,500,000, ukiwauliza PPF wanasema mwajiri kapelekwa mahakamani tangu 2012 mpaka sasa hakuna kitu kabisaaa sasa mpaka nifikishe miaka 55 au 60 sina kazi mtoto wa masikini inakuwaje,
Wanakupa bwanaaa ppf ndo wababaishaji yaan kuna watu nliacha nao kazi pamoja baada ya miezi sita walivyo process tuu ela zao wakapata Mimi mpaka leo na ng'aa machowanakudanganya, na usithubutu kuacha kazi mwenyewe, utakuwa umeliwa.
aiseemjengoni ulipita mlungula wakanyamaza kiimya, wakalifuta