Fao la kujitoa lipo---LAPF

Huu kwa kweli ni wizi na uhuni mkubwa ambao nssf na wenzake wanatufanyia.Sheria bado haijapitishwa ila imependekezwa.hivyo kwa kuwa wanajua serikali inadaiwa na hiyo mifuko hela nyingi haiwezi kufanya chochote dhidi yao.
 
PPF wanatoa acheni kupotosha mambo, mwezi wa 7 jamaa yangu kachukua pesa zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna uchangiaji tofauti ndani ya huo mfuko wa PPF, tena uchangiaji huo upo kisheria unaruhusiwa kuchukua mda wowote, na hawautangazi... Mimi mwenyewe rafiki yangu kavuta mzigo, lakini sio wote wamepewa elimu juu ya uchangiaji huo... Sio wote!
 
Namuomba Rais wetu mpendwa JPM aliangalie hili kwa upana wake ili sisi watoto wa wakulima tupate haki zetu maana nimeshazungushwa sana na hyo kampuni mpaka wananiambia nenda kokote, sasa najiuliza sisi watu wa hali ya chini tukimbilie wapi?
Hapa ndipo unapoharibu sasa, Sema Rais wako mpedwa sio Rais wetu mpedwa wengine sisi huyu ni Rais wetu tu ila sio Rais wetu mpendwa. Yeye na lichama lake chakavu ndio wako nyuma ya huu upuuzi halafu eti unamuomba akusaidie are u serious? Utasubiri sana embe chini ya mnazi
 
Kuna uchangiaji tofauti ndani ya huo mfuko wa PPF, tena uchangiaji huo upo kisheria unaruhusiwa kuchukua mda wowote, na hawautangazi... Mimi mwenyewe rafiki yangu kavuta mzigo, lakini sio wote wamepewa elimu juu ya uchangiaji huo... Sio wote!
Ebu tuonane in-box, au niunganishe na huyo mshikaji wako ili nikachukue angalau nusu aisee...naumia sana mitaani.
 
haya ndy mambo ambayo serikali iliyoko madaraka inatakiwa kuliweka sawa maana limekuwa ni kilio cha muda mwingi sana.Huwezi kuchukua hela za wafanyakazi na kufanyia biashara kama kujenga viwanda .Siyo mbaya kama zikitumika kuzalisha lkn inatakiwa zitumike kiasi bila kuathiri huduma zake kama watu wanaostaafu au wanaacha kazi kupata kilicho chao
 
ha ha ha ha a ha a ha ha ha hah.....eti lichama.....ha ha ha ha ha...punguza ukali wa maneno.....otherwise, nimecheka sana.
 
Hivi eti ni kweli kuwa pesa za kiinua mgongo zinamajini,kuna mzee nko naye hapa analalamika eti hata haelewi zimeishaishaje
 
Hivi eti ni kweli kuwa pesa za kiinua mgongo zinamajini,kuna mzee nko naye hapa analalamika eti hata haelewi zimeishaishaje
ha ha ha ha haha...huyo mzee yeye ndiyo ana majini....ha ha ha...cheka sanaaa.
 
Fao La Kujitoa Maisha Yangu
 
Nasikia sasa ivi wanatia sijui ni kwelii em ngoja nfatilie uko ppf
 
wanakudanganya, na usithubutu kuacha kazi mwenyewe, utakuwa umeliwa.
Wanakupa bwanaaa ppf ndo wababaishaji yaan kuna watu nliacha nao kazi pamoja baada ya miezi sita walivyo process tuu ela zao wakapata Mimi mpaka leo na ng'aa macho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…