Chumvi yao
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,580
- 5,563
Huu nao pia ni mchango lakini wa gen z..............maana ameonyesha bado ajaota meno yote mdomoniHiyo ofisi ulikuwa unakatakata nyama buchani au kibodi kimetafuna kidole?
Kalaga baho.Je naweza kujua kiwango cha malipo??
Huu nao pia ni mchango lakini wa gen z..............maana ameonyesha bado ajaota meno yote mdomoni
Unataka nikujibu lakini sitaki..........kwanza ka account kako bado kananuka maziwaKalaga baho.
Acha upimbi ***** wewe, heshima kitu cha bure, usifosi uchogo hapa.Unataka nikujibu lakini sitaki..........kwanza ka account kako bado kananuka maziwa
Matusi tena ...........umeanza kutukana baba zako si ndio??Acha upimbi ***** wewe, heshima kitu cha bure, usifosi uchogo hapa.
Oya sinaga utani wa kichogo wala wa majibizano, usinivulugie siku na tuheshimiane.Matusi tena ...........umeanza kutukana baba zako si ndio??