Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipaumbele vinaweza kuwa hata kumi ila viwe na uwiano sawaUnaelewa maana ya kipaumbele?
Wakipendekeza Mbuga naomba iwe ile Burigi Chato.Shirika la Chakula duniani FAO limeishauri Tanzania kuweka kipaumbele katika zao moja la kilimo litakaloitambulisha nchi yetu kwenye soko la kimataifa.
Chanzo: Radio One
My take; Pendekeza zao, binafsi Napendekeza Korosho
Tena Twiga MwekunduMaana yake ni kuwa ni zao lipi linalotutambulisha?
Tuna wanyama wengi lakini tunajitambulisha kwa kutumia twiga.
Wamepotea, hatutafuata hivyo kamwe.Kando ya mazao mengine, tuweke kipaumbele kwenye zao la Halizeti (Sunflower 🌻) kwa sababu linaweza kustawi popote nchini. Tunaangushwa na sera mbovu ya kilimo.
FAO Bull shit!Shirika la Chakula duniani FAO limeishauri Tanzania kuweka kipaumbele katika zao moja la kilimo litakaloitambulisha nchi yetu kwenye soko la kimataifa.
Chanzo: Radio One
My take; Pendekeza zao, binafsi Napendekeza Korosho
Sio bamia kweli?Shirika la Chakula duniani FAO limeishauri Tanzania kuweka kipaumbele katika zao moja la kilimo litakaloitambulisha nchi yetu kwenye soko la kimataifa.
Chanzo: Radio One
My take; Pendekeza zao, binafsi Napendekeza Korosho
Shirika la Chakula duniani FAO limeishauri Tanzania kuweka kipaumbele katika zao moja la kilimo litakaloitambulisha nchi yetu kwenye soko la kimataifa.
Chanzo: Radio One
My take; Pendekeza zao, binafsi Napendekeza Korosho
Ata Mimi naona hili zao ikiwa pamoja na maweze haya mazao yapewe kipaumbele sababu mahitaji ya ndani ni makubwa ikitokea tukawekewa vikwazo bado tunaweza kuuza hapa hapa na nchi jiraniKando ya mazao mengine, tuweke kipaumbele kwenye zao la Halizeti (Sunflower 🌻) kwa sababu linaweza kustawi popote nchini. Tunaangushwa na sera mbovu ya kilimo.
Ni Kweli kabisa, hayo ni mambo ya Adam Smith - Scottish economist. Kwa ufupi ni kwamba tumeshindwa kujipambanua ni nini hasa ambacho ndio export yetu. Tunawaweza kuwa kuwa na export nyingi tu na tukajipambanua nazo kama kambarage alivyofanya yaani kwa mfano - mahindi yalijulikana kabisa ni mikoa ya nyanda za juu- Iringa etc, Pamba kwa akina Ngosha, Korosho kwa akina Kachero Mbobezi , Tanzanite kwa wamasai, na mengineyo ya namna hiyo.Hii ni concept ya Comparative Advantage
Wajiongeze
Lakini mkulima analima kitu anachoona kinamlipa
Ingawa kama soko likiwa la uhakika watalima tu bila kuambiwa
Umeelewa kweli wewe?.jipe muda ujielimishe kuhusu hilo swala badala yakukimbilia kucoment fikra ulizonazo kichwani.Hili jambo sio geni duniani na hata sisi tungekua serious toka enzi za nyerere leo tungekua na zao moja kubwa linalouza zaidi soko la dunia ila kwasababu ya ujinga wetu tukaharibu mazao yote ya biashara leo tuko tuko tu tunaishia kulalamika kukosekana kwa soko kwenye mazao yetu kwasababu hatukuwekeza vyakutosha kwenye sekta ya kilimo.Unaposikia kilimo cha mahindi marekani,au matunda italia au miwa cuba au pamba india usifikiri wamefika hapo kwakua na fikra kama zako.Ata sisi tungeweza kuwekeza nguvu kwenye zao moja kubwa libiashara likakamata soko la dunia na likakuza uchumi wetu badala ya aina ya kilimo tunachokifanya sasa.huo ushauri wa mabeberu tukiukubali tutaingia mkenge na hakuna mwananchi atakayekubaliana na upuuzi huo.wawashauri kwanza wazungu wenzao.mara nyingi huwa najiuliza kwa nn hawa mabeberu wanaisemea sana afrika?what is the motive behind.nadhani hawa watu wangependa kuona waafrika wote tunapotea ktk bara hili ili walichukue wao.ss tumeamua tutaenda na mazao yote lkn kwa ufanisi.kuchagua zao moja ni mbinu ya kuja kutumaliza kiuchumi.watafanya mbinu zote kulifanya hilo zao liporomoke kiuchumi ili watanzania tuishie hapo.hatukubali huo upuuzi.
Kama huelewi si uulize.Zao moja kivipi wakati tuna mazao mengi yanakubali, kawambie hao FAO hatujaribiwi....
... mahindi yao kwa ajili ya kulishia nguruwe na cattle! Dah; this world is not fair....
Kama vile Marekani ni maarufu kwa kilimo cha mahindi duniani haina maana ya kwamba hawafanyi biashara katika mazao mengine
Kwani hayo uliyo yataja ni mazao ya kilimo au Ni MAZAO YA BIASHARA?Waende zao hapa!! Enzi za Mwalimu Nyerere tulikuwa na Pamba,Kahawa,Mkonge ,Chai na Muhogo kama Exports.Na tulikuwa Vizuri sana .Sasa hivi Wanaotuangusha ni Wanasiasa .Kama wakiwa makini Tanzania tutarudi no 1 kwenye export za mazao ya Kilimo
SIO Dodoma mkuu hahahahaaaaFAO Bull shit!
Napendekeza chai ikalimwe Mtwara!
Mwalimu mbona ndiye aliharibu kilimo chetu.Waende zao hapa!! Enzi za Mwalimu Nyerere tulikuwa na Pamba,Kahawa,Mkonge ,Chai na Muhogo kama Exports.Na tulikuwa Vizuri sana .Sasa hivi Wanaotuangusha ni Wanasiasa .Kama wakiwa makini Tanzania tutarudi no 1 kwenye export za mazao ya Kilimo