Faragha ya Dogo Janja na Mpenzi wake yavuja

Maskini aaa sasa kurekod na kupost alikua na maana gani
 
Maskini aaa sasa kurekod na kupost alikua na maana gani
Woooow umepotelea wapi weye, hyo demu anaonekana hampend janjaro kwa kua hana mpunga, cku kinapendwa pochi tu. Akat janjaro yupo juu walikua wanaenda wote na madee knyama kufuata ngozi flani ambapo madee akawa anapiga mkubwa na janjaro anakoroga mdogo cjui iliishia wapi
 
Yule demu hana lolote ni mtafuta kiki tu.. Kama mi ndio janjaro ningemtafuta baada ya issue yangu na akina made kuisha.. Ningemfanyia kitu ambacho asingesahau maisha... Nyambafu
Kwa mfano ungemfanya nn mkuu
 
Alikuwa hawapondi, ila alikuwa ana bembeleza papuchi...

Alafu papuchi yenyewe inaambiwa nakupenda, inajibu Ahsante khaaa...

Alafu wote wanaonekana ni watoto bado... unataka mtu mwenye future siyo wa ku show off... hapo hapo unoamba gari yakwendea ku show off kwenye brithday ya rafiki yako... :O
 
Haa haa haa cna mbv madem hawa ovyo kbs
 
Demu amemuharibia sana dogo..Ila haya ndo matokeo ya kulazimisha penzi sometimes..Janjaro imemcost
Hivi mnafikiri mkisikia hii clip nani atakua kamrekodi mwenzake?
Sauti gani inasikika live na Ipi inasikika ya kisimu simu?
Kama zote zinasikika live basi hapa hakuna maongezi ya simu, bali watu wamekaa mahali wakaamua kure-cord ili kufikisha ujumbe
 
Hivi mnafikiri mkisikia hii clip nani atakua kamrekodi mwenzake?
Sauti gani inasikika live na Ipi inasikika ya kisimu simu?
Kama zote zinasikika live basi hapa hakuna maongezi ya simu, bali watu wamekaa mahali wakaamua kure-cord ili kufikisha ujumbe
Daahh!! Mkuu kweli ukisikiliza ni ngumu kujua nani kamrekodi nani..Ila Dogo Janja kafanyiwa interview kasema demu ndo kamrekodi..Hii inaweza kuwa kiki labda..Mana mwezi huu Dogo anaachia nyimbo..Kwa mujibu wa Madee
 
maandalizi ya Ujio wa wimbo mpya wa Dogo janja na Madee so nadhani ni kuwapa mashabiki hamu ya kuusikiliza wimbo husika
 
Eti
"love you"
"Okay thanks"!!!!!
 
Dogo Janja - MY LIFE (New track 2016)

 
dogo hajui kutongoza kabisa... nini kimetokea kizazi cha sasa ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…