Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baby missing you tooMissing you eh
Woooow umepotelea wapi weye, hyo demu anaonekana hampend janjaro kwa kua hana mpunga, cku kinapendwa pochi tu. Akat janjaro yupo juu walikua wanaenda wote na madee knyama kufuata ngozi flani ambapo madee akawa anapiga mkubwa na janjaro anakoroga mdogo cjui iliishia wapiMaskini aaa sasa kurekod na kupost alikua na maana gani
Kwa mfano ungemfanya nn mkuuYule demu hana lolote ni mtafuta kiki tu.. Kama mi ndio janjaro ningemtafuta baada ya issue yangu na akina made kuisha.. Ningemfanyia kitu ambacho asingesahau maisha... Nyambafu
MBONA INASIKIKA TU JAMAA ANAMWAGA SOUND KWA MTOTO MTOTO ANA SAUT TAMU KINYAMAIweke tuisikie/tuione
Hivi mnafikiri mkisikia hii clip nani atakua kamrekodi mwenzake?Demu amemuharibia sana dogo..Ila haya ndo matokeo ya kulazimisha penzi sometimes..Janjaro imemcost
Daahh!! Mkuu kweli ukisikiliza ni ngumu kujua nani kamrekodi nani..Ila Dogo Janja kafanyiwa interview kasema demu ndo kamrekodi..Hii inaweza kuwa kiki labda..Mana mwezi huu Dogo anaachia nyimbo..Kwa mujibu wa MadeeHivi mnafikiri mkisikia hii clip nani atakua kamrekodi mwenzake?
Sauti gani inasikika live na Ipi inasikika ya kisimu simu?
Kama zote zinasikika live basi hapa hakuna maongezi ya simu, bali watu wamekaa mahali wakaamua kure-cord ili kufikisha ujumbe
Dah nimeisikia tayari mkuu, boxer ilituna kama mimi ndo nilikuwa janjaro vile[emoji39]MBONA INASIKIKA TU JAMAA ANAMWAGA SOUND KWA MTOTO MTOTO ANA SAUT TAMU KINYAMA
maandalizi ya Ujio wa wimbo mpya wa Dogo janja na Madee so nadhani ni kuwapa mashabiki hamu ya kuusikiliza wimbo husika
Hii imeshakuwa fashion sasaKumba hawa jamaa walikuwa wanatafuta kiki?View attachment 325376
Star nani bongo amna starukiwa star kaz sana