Faraja kota

Faraja kota

Status
Not open for further replies.
huyu miss tanzania wa mwaka 2004 asiyekuwa na kashfa ameolewa na naibu waziri wa viwanda, biashara na masoko bwana lazaro nyalandu.. ni wachumba au ndugu?? Nimeona kny gazet la leo la mwananchi faraja akiitwa faraja kota nyalandu. Msaada please

1. Hakuna mtu, hususan anayefikia kiwango hicho cha umaarufu, asiye kashfa. Sema labdakashfa zake hazijulikani.
2. Post yako haieleweki kama ni statement au swali, umeanza kwa kusema "ameolewa na naibu waziri wa viwanda" halafu unauliza "ni wachumba au ndugu". Itakuwaje aolewe alafu wawe wachumba?

Rekebisha post kwanza utuambie vizuri unachotaka kujua/ kusema nini?
 
Nshapata majibu yangu.. So haina umuhimu kwa sasa. Alafu hapa hatujifunzi kiswahili.. Ebo!!!!
 
Jisemee mwenyewe kwamba "mie nakumbatia ujinga", usisemee umati ambao hata huujui ambao hauchagui cha kujifunza. Ulichokosolewa si kiswahili tu, bali pia logic yako.
 
We unajua nini kuhusu logic wewe???? Logic n program flan ya kufanyia vocal, unaweza pia tengeneza beat kama unatumia mid cable, unaijua we *****???? Logic yangu unaijuaje.. Wakat hata kompyuta sina, nywira nshapoteza.... Kaa kimya nyambafuuu!!!!!!?!
 
Sio kosa lako, ni kilevi alichotumia mamako wakati ukiwa tumboni mwake.
 
watu kama lundega ni wa kuogopwa kabisa... Yan kila mshind amemla.. Tena miaka hiyo ya 2004 jamaa alikuwa bado kijana zaidi

huyu anko hash .m na chips yai vile vipimo
vya kikorea vinaweza lipuka wakienda pima
wanawatoboa hawa mabint vibaya vibaya,
hivi wanajiridhishaje
na afya zao %100? Njaa na tamaa za hovyo ni mbaya mno
 
Yaan acha kabisa bhandugu.. Hatari tupu!!!!!!!!???
 
3.JPG

Mke wa Naibu waziri wa Viwanda na Biashara, Lazaro Nyalandu na Faraja(wa pili kushoto)akiongoza Wageni Mbalimbali kucheza mziki

[TD="class: reactions-label-cell, width: 1%"][/TD]
 
4.JPG

Naibu waziri wa Viwanda na Biashara, Lazaro Nyalandu na Mkewe Faraja wakikata keki katika sherehe ya mwaka mpya waliyoiandaa nyumbani kwao Arumeru Mkoani Arusha wakati wa Mwaka mpya,
 
Nyalandu kalaza KAENDA nyingi kuliko my waifu wake
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom