lol...... ni mke wake wa ndoa.
are you sure?amejitunza sana mpaka waziri kajibebea
sharing is caring...lundenga hakupita?
huyu miss tanzania wa mwaka 2004 asiyekuwa na kashfa ameolewa na naibu waziri wa viwanda, biashara na masoko bwana lazaro nyalandu.. ni wachumba au ndugu?? Nimeona kny gazet la leo la mwananchi faraja akiitwa faraja kota nyalandu. Msaada please
lundenga hakupita?
1. Hakuna mtu, hususan anayefikia kiwango hicho cha umaarufu, asiye kashfa. Sema labdakashfa zake hazijulikani.
2. Post yako haieleweki kama ni statement au swali, umeanza kwa kusema "ameolewa na naibu waziri wa viwanda" halafu unauliza "ni wachumba au ndugu". Itakuwaje aolewe alafu wawe wachumba?
Rekebisha post kwanza utuambie vizuri unachotaka kujua/ kusema nini?
Nshapata majibu yangu.. So haina umuhimu kwa sasa. Alafu hapa hatujifunzi kiswahili.. Ebo!!!!
Jisemee mwenyewe kwamba "mie nakumbatia ujinga", usisemee umati ambao hata huujui ambao hauchagui cha kujifunza. Ulichokosolewa si kiswahili tu, bali pia logic yako.
We unajua nini kuhusu logic wewe???? Logic n program flan ya kufanyia vocal, unaweza pia tengeneza beat kama unatumia mid cable, unaijua we *****???? Logic yangu unaijuaje.. Wakat hata kompyuta sina, nywira nshapoteza.... Kaa kimya nyambafuuu!!!!!!?!
ina maana alikuwa hajaoa au alimfukuza mkewe apate chombo kipya?
watu kama lundega ni wa kuogopwa kabisa... Yan kila mshind amemla.. Tena miaka hiyo ya 2004 jamaa alikuwa bado kijana zaidi
sharing is caring...
huyu anko hash .m na chips yai vile vipimo
vya kikorea vinaweza lipuka wakienda pima
wanawatoboa hawa mabint vibaya vibaya,
hivi wanajiridhishaje
na afya zao %100? Njaa na tamaa za hovyo ni mbaya mno
Nyalandu kalaza KAENDA nyingi kuliko my waifu wake