Faraja: Matokeo Ya Ufugaji Wa Kuku

kulea vifaranga wala si tatizo. kwahao kuku wako banda la bati 3 za mita 3 au 2.5 litakutosha. PM namba yako nikuelekeze cha kufanya dhidi ya vifaranga na kama utakuwa karibu na nilipo naweza kukutumia kitabu (bule) bila malipo nilicho toa SUA
Kaka naomba msaada wako wa hiko kitabu...Mimi ni mtendaji wa kijiji...na nahamasisha watu kufuga Kuku kila siku...nadhani ukisaidia na Hilo kitabu nitasaidia watu wengi sana..maana sasa Nina vijana ambao wamemaliza darasa la saba ..najaribu kuwaonyesha jinsi gani wa naweza kupata hela za kujikimu kwa umri wao Mdogo kwa njia ya kufuga kuku
 
kulea vifaranga wala si tatizo. kwahao kuku wako banda la bati 3 za mita 3 au 2.5 litakutosha. PM namba yako nikuelekeze cha kufanya dhidi ya vifaranga na kama utakuwa karibu na nilipo naweza kukutumia kitabu (bule) bila malipo nilicho toa SUA
My number ni 0784 728 330
 
Kweli akili ni nywele, hongera Mkuu!
 
kulea vifaranga wala si tatizo. kwahao kuku wako banda la bati 3 za mita 3 au 2.5 litakutosha. PM namba yako nikuelekeze cha kufanya dhidi ya vifaranga na kama utakuwa karibu na nilipo naweza kukutumia kitabu (bule) bila malipo nilicho toa SUA
namimi nahitaji kitabu kiongoz
 
Iko poa sana mkuu biashara ya ufugaji wakuku inalipa ukizingatia kanuni zake kama usafi, chanjo zidi ya magonjwa na nyinginezo kaza mwendo utafika
kiongoz naomba msaada kuku wangu wanapiga chafya usiku kunatatizo?
 
Hongera sana. Umeniamsha.

Nisaidie nitapata wapi vifaranga vya kienyeji?
 
Mie niko Mwanza na natafuta kuku,wa kienyeji mwenye sifa kutaga mayai megi, mzazi mzuri na ,tunzaji mzuri wa vifaranga, kama unao tuwasiliane
Anza na vifaranga ulee mwnyw,kununua kuku mkubwa ni risk sana,hujui huko unakonunua kalelewa vp.
 
Mie niko Mwanza na natafuta kuku,wa kienyeji mwenye sifa kutaga mayai megi, mzazi mzuri na ,tunzaji mzuri wa vifaranga, kama unao tuwasiliane
Weka namba tuwasiliane nitakupa vifaranga wazuri hadi hautanisahau katika ufugaji mkuu
 
Mkuu inatakiwa uwajengee eneo kubwa ili iwepo hewa ya kutosha nnachokiona kwenye hili bamba kati ya eneo lako na jirani yako kale kauchochoro ndio umeweka banda ongeza eneo mkuu
 
Aiseee, mbona unanirusha roho?! Hebu nambie hiyo aina inaitwaje niwasake, dar hakikosekani kitu
kuna badhi ya mbegu za kawaida unaweza kuzipata Dar mzee.
 
Attachments

  • 1476279673881.jpg
    62.8 KB · Views: 46
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…