pH 7
Member
- Aug 10, 2014
- 89
- 35
- Thread starter
- #101
Nimepata baadhi sijui kama yatakua msaada, ila kwa kuanzia unaweza pata picha general
View attachment 195163View attachment 195159View attachment 195164
Shukran Asigwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimepata baadhi sijui kama yatakua msaada, ila kwa kuanzia unaweza pata picha general
View attachment 195163View attachment 195159View attachment 195164
Mkuu Naomba unitumie na mimi, ila itakuwa rahisi ukiattach kwenye hii thread ili kila mtu apate.Niko safari nitajitahidi nikutumie
Shukrani kwa ushauri Ndugu!
Nitajitahidi kutotolesha ilakwa sasa nina banda moja (Nimepangishwa) lakini nime plan kulifanyia partition ambamo nitalea vifaranga pindi nikianza rasmi utotoleshaji. Nadhani changamoto itakuweo wenye kulea vifaranga ndani ya banda la kuku wakubwa.
Ila plan yangu kubwa ilikuwa kununua kiwanja nje kidogo ya mji alafu ndio nianze utotoleshaji kwa wingi.
Vipi unanishaurje kuhusu kujenga kibanda ndani ya banda la kuku wakubwa kwa ajili ya vifaranga.
Mkuu usihofu jamaa akipata nafasi atatuwekea attachment ya hicho kitabu, ila mpaka sasa hajanitumia.
Mkuu usihofu jamaa akipata nafasi atatuwekea attachment ya hicho kitabu, ila mpaka sasa hajanitumia.
Ningefurahi kuona kila anaetuma ujumbe anataja mahali alipo. Tunaweza kushirikiana kwa kutembeleana kama tutaona tuko jirani. Pia kupeana masoko, mteja anaweza kuja kwako ww huna kumbe yupo mtu mkoani kwako na mko jirani anao kuku hana soko. Karibuni. Mm napatikana Dodoma.