TinyMonster
JF-Expert Member
- Jun 15, 2009
- 242
- 154
Nimeona leo watu wakimtakia happy birthday Faraja kwa kutimiza miaka 30 lakini mbona nahisi ni michache sana kwa mtu aliekuwa Miss Tanzania 2004? Isijekuwa kajipunguzia miaka kama wanavyofanya mamiss wengine.
View attachment 249647
Wema ana umri Wa miaka ishirini na saba tu.
Wema ana umri Wa miaka ishirini na saba tu.
Wema ana umri Wa miaka ishirini na saba tu.