Faraja Nyalandu ana miaka 30?

Faraja Nyalandu ana miaka 30?

TinyMonster

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2009
Posts
242
Reaction score
154
Nimeona leo watu wakimtakia happy birthday Faraja kwa kutimiza miaka 30 lakini mbona nahisi ni michache sana kwa mtu aliekuwa Miss Tanzania 2004? Isijekuwa kajipunguzia miaka kama wanavyofanya mamiss wengine.

faraja nyalandu.PNG
 
Sasa hiyo si karibu nusu karne?uchache wake nini?30years si mchezo kwa Ke ni kizee flan
 
Unachoshangaa ni nini hapo inaonyesha alikua anamiaka 19 sasa kua miss miaka 19 ni ajabu
 
Alipata umiss akiwa ndio kamaliza form six nadhani. Ni sawa kwa mtu kumaliza hicho kiwango cha elimu akiwa na miaka 18 au 19. Miaka 30 ni sawa kabisa, unless una sababu nyingine za kudoubt
 
Hili somo la hisabati linajulikana ugumu wake.
 
Hoyce temu mwezi uliopita alipohojiwa kwenye gazeti la mwananchi alisema ana miaka 33, ukijaribu kuangalia hiyo hesabu tangu awe miss mwaka 1999 unakuta alikuwa miss tz akiwa na miaka 16:confused2:. Ila kwa faraja ni sawa maana yeye alipata taji akiwa na miaka 19 hapo hajadanganya umri.
 
Mmh kwel sitti mtemvu, alikua na kigundu kumbe na bint temu alidanganya? Happiness magesse nae alidanganya.
 
Back
Top Bottom