Sam mirror
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 1,461
- 2,238
- Thread starter
-
- #41
Sawa Mwalimu MKUU.Wewe hata kuandika hujui halafu unaniquote
Eti ''afu'' badala ya Halafu
Mbea badala ya ''Mmbea''
Nenda kwanza shule kajifunze kuandika wewe mwanamke na uache uzushi.
Sent using Jamii Forums mobile app
πππ nouma sanaSasa mbona farasi mwenyewe wa kawaida ajabu yake nini[emoji1787].
Ila wabongo bhana basi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe upo huko Zanzibar na umeiona ??prove mkuu Ila hii ni real.
hii picha ime editiwa na slow slow na genge lake ili kuuaminisha umma kuwa maombi yamepokelewa mbinguni (yale ya siku tatu)Farasi Wa ajabu wameonekana uko Zanzibar Leo wajuvi hii ina maana gani. Au ndo siku za mwisho izi. Watu mliopo uko Zanzibar mtupe uhakika nimeikuta kwenye group whatup. View attachment 1422339
Sent using Jamii Forums mobile app
Sitashangaa sana maana watanzania walishawahi kumuona Nyerere kwenye mwembe.
Sent using Jamii Forums mobile app