Sam mirror
JF-Expert Member
- Sep 29, 2018
- 1,461
- 2,238
- Thread starter
- #41
Sawa Mwalimu MKUU.Wewe hata kuandika hujui halafu unaniquote
Eti ''afu'' badala ya Halafu
Mbea badala ya ''Mmbea''
Nenda kwanza shule kajifunze kuandika wewe mwanamke na uache uzushi.
Sent using Jamii Forums mobile app