Farasi wa ajabu waonekana Zanzibar

Farasi wa ajabu waonekana Zanzibar

Mkoo ngoja waje wengine walio ona alafu turudi kwenye biblia takatifu kitabu cha ufunuo ndo kuna hizo abari za farasi.
Pia kuna project ilikuwa ya kumleta masihi nadhani ilikuwa inaitwa cjui blue nini tafuta hio mada kule intelligence
kweli mkuu 🤔🤔
 
Khaaa hii mbona inaonekana kabisa kuwa ni photoshop
 
Sijui habari za mapicha ya kutengeza lkn hii imetengenezwa
 
Back
Top Bottom