FARDC waweka siraha chini

FARDC waweka siraha chini



IMG-20250128-WA0022.jpg

 
Nyuma ya kagame kuna US na France, hizi sio nchi ndogo, Kagame anataka kutawala eneo la mashariki ya Kongo kwa kuwaondoa kuwauwa wenyeji wabantu, ili eneo liwe la watusi pekee.
US wanamkopesha silaha nyingi kwa makunaliano akilichua eneo hilo lenye utajiri mkubwa wa madini, makampuni ya US ndio yatapewa umiliki kwa Kodi ndogo sana kwa miaka mingi, china hana chake

Njia pekee kwa DRC Ni kuomba msaada wa China na Russia kwa makubaliano hayohayo. Lakini SADC, EAC hawawezi, nao viongozi wao ni waramba miguu wa uncle Sam
 
Back
Top Bottom