Farewell to Angela Merkel

Mara chache alipigiwa picha akienda dukani...
analipa

Hapa ni kama alialika wageni kwake ? (chupa 3 divai..)
 
Haya Sasa wale wazalendo uchwara
Mpo,hua mnaimba kelele zenu uchwara humu jamvini
Nye Nye Nye
Mnaweza ishi Maisha kama ya huyo mama kiongozi wa taifa la mabeberu na yupo normal tu?

Tatizo lenu ubinafsi,uroho,uchumia tumbo,njaa,ujinga,maradhi vinawaandama jitu ndani ya miaka mitano limekwapua trillion 1.5 huko
Na hata matumizi nayo halina linazisafirisha nje huko likifa wajanja wanazipiga kimya kimya huku wananchi wake hawana matundu ya vyoo
Shame to you CCM's leaders!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…