Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
πππ₯πππ‘ πππππ π¨: ππππ‘π¬π π‘ππ‘π.....?
Lazima tufanye research juu ya Wachezaji wa Kimataifa wanaosajiliwa Simba kwanini 80% wanafeli licha ya kuwa wanakuja na profile nzuri saana? Kosa wakishatua Msimbazi na kuvaa jezi ya Simba tu basi mambo hubadilika.
Ndani ya misimu mitatu tumewahi kusajili MVPs kadhaa ambao leo hii wote hawapo ila walitoka kwenye ligi zao wakiwa bora tu, ndani ya misimu mitatu Simba imesajili promising talents ambazo zote zikafeli na ndani ya misimu mitatu Simba imeleta wafungaji bora ambao hawakufikia matarajio.
Simba ifanye nini?
Sajili zinafanyika bila Kocha kujulishwa? Presha ya Media?
Sajili zinafanyika kwa takwimu na sio takwa la Kimfumo?
Maswali ambayo kwenye research yetu yatatuongoza.
Cc. Farhan Kihamu