Farhan: anauliza Kwanini wachezaji wakifika Simba Wanafeli viwango?

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
𝗙𝗔π—₯𝗛𝗔𝗑 π—žπ—œπ—›π—”π— π—¨: π—œπ—™π—”π—‘π—¬π—˜ π—‘π—œπ—‘π—œ.....?

Lazima tufanye research juu ya Wachezaji wa Kimataifa wanaosajiliwa Simba kwanini 80% wanafeli licha ya kuwa wanakuja na profile nzuri saana? Kosa wakishatua Msimbazi na kuvaa jezi ya Simba tu basi mambo hubadilika.

Ndani ya misimu mitatu tumewahi kusajili MVPs kadhaa ambao leo hii wote hawapo ila walitoka kwenye ligi zao wakiwa bora tu, ndani ya misimu mitatu Simba imesajili promising talents ambazo zote zikafeli na ndani ya misimu mitatu Simba imeleta wafungaji bora ambao hawakufikia matarajio.

Simba ifanye nini?
Sajili zinafanyika bila Kocha kujulishwa? Presha ya Media?
Sajili zinafanyika kwa takwimu na sio takwa la Kimfumo?

Maswali ambayo kwenye research yetu yatatuongoza.

Cc. Farhan Kihamu
1723453018968.jpg
 
Cc. Farhan KihamuView attachment 3076209
Huitaji elimu ya juu kushindwa kutambua tatizo.
Simba baada ya mazoezi wachezaji wanarudi nyumbani kama mchezaji hajitambui anaweza kutumia vibaya muda wa kupumzika akiwa nyumbani.

Yanga muda mwingi wachezaji wapo Kambini isipokua mara chache wakipewa mapumziko.
Yanga wamewekeza kwa kiasi kikubwa kwenye vifaa vya kisasa na walimu wa kisasa kwenye bench la ufundi inawafanya wachezaji kuwa Fit.

Ata Mzize kwasasa aanguki anguki hovyo anapo karibia kufunga Ina maana kama Mzize ameacha kuanguka Waliobaki watakua FIT Sana.
Mzize ndiye aliyekua na fitness ya hovyo pale Yanga.
 
Uko vzr boss
 
yani unamfukuza kanoute, baleke, Phili unamleta joshua mutale, sijui hokijebha. Upuuzi mtupu.
Kanoute alishinikiza kuondoka. Baleke alikuwepo simba kwa mkopo , mwenye mali akaamua kumpeleka kwingine . Kama ni wewe ungefanyaje?
 
Back
Top Bottom