WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 8,437
- 8,136
Ndiyo ni utafunwaji wa pesa.Je Heche ametafuna pesa kiasi gani na ni nani aliyekifanyia audit Chama cha Demokrasia na Maendeleo na kugundua kuwa Heche anatafuna hela.Hoja ni utafunwaji wa fedha za chama unaofanywa na Heche. Farhan Anataka kuhamisha mjadala.