Ukikaa mtaani utasikia “MO NI TATIZO SIMBA HATOI HELA” basi unaanza kuusuka mkeka wa Tajiri ndani ya Simba.
- Unamkumbuka Duncan Nyoni? Unamkumbuka Ismail Sawadogo? Unamkumbuka Victor Akpan? Unakumbuka Dejan Mzungu? Unamkumbuka Augustine Okrah? Unamkumbuka Peter Banda? Unakumbuka Nelson Okwa? Hizi sajili nyingi zilifeli na wengine klabu ikalipa fidia! Yaani chukua gharama za usajili na gharama za fidia.
- Halafu ndani ya msimu mmoja umefika katikati mwa msimu unakubali kirahisi tu Jean Baleke aondoke ambapo pesa ya kuleta Fred ungeweza kuwapooza Mazembe wakuachie Baleke mpaka mwisho wa msimu ila unaona aje mpya? Hapo hapo unakubali Phiri aondoke unaleta Jobe, wa kimataifa katikati ya msimu, you feel me?
- Kwa misimu kadhaa kuna kamchezo ka kuleta na kufukuza yani tunatisha sana eneo hilo.
Tunaendelea kusema TAJIRI hatoi hela ni tatizo ndani ya Simba? Hapo hazitajawa gharama za Camping haswa nje ya nchi, hapo hazijatajwa sajili za ndani zilizofeli! Tajiri anatakiwa kufanyaje tena?

- Tuje kwenye MAKOCHA, Simba kwa kipindi cha miaka mitatu imeleta Makocha wangapi? Unaleta Kocha, unamlipa gharama kubwa kisha msimu haujaisha unafukuza unamlipa tena fidia kubwa kisha unaleta mwingine, yule Benchika alikuwa anapokea kama Million 90 kwa mwezi soma vizuri 90 ndio
- Mtu aje aniambie tu nijue yani ndani ya msimu huu umesajili Fabrice Ngoma ambaye ni mzuri halafu una Sadio Kanoute halafu ghafla unamleta Babacar Sarr ambaye anakupa kitu kile kile yaani Wachezaji watatu wa Kimataifa wa kufanana? A coincidence?