Farhia Middle punguza huo unene

Nimependa jinsi ulivyowasilisha mada yako, hukutaka kumuumiza hisia zake umesema nae taratibu na vionjo vya kuchekesha akiupata huu ujumbe atacheka na kuufanyia kazi pia.

Ila ungeweka picha ya Before na After ingekua mzuka sana.

Boost your Immune System to fight a Covid-19.
 
Jana nikawaza sana kwa ule unene na uzito pale wanaposimama kutusomea muhtasari Kuna kanjia kadogo sana halafu wamevaa skuna/hills/mchuchumio/viatu vyenye kisigino kirefu

Anaweza kula mweleka akaanguakia Yale makamera pale[emoji1787][emoji1787][emoji3]

Punguza huo unene mama yangu Farhia middle

Mimi nakukubali sana

I see u BBC,DW, and the like in the future

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hilo jina la pili linatamkwa "mido" au " midle" ?
 
Ila kweli atakuja kutitia kwenye kiti

CCM DAMUDAMU!!!,CHAMA CHA MAMA &BABA
 
kupunguza uzito ni commitment ya mda mrefu, sio jambo la kufanya wiki moja au mbili. ukute dada wa watu anataka kupunguza uzito ila anakosa pesa ya kwenda kulipia gym au ya kumlipa personal fitnes trainer.

za chini ya kapeti zinasema tangu alipofariki mzee mengi, wafanyakazi wengi wa ITV hawalipwi mishahara vizuri na kwa wakati.

yawezekana anaendelea na kazi ya utangazaji kwa kuwa tu anaipenda kazi yake na hana namna ya kuiacha.
 
[emoji3][emoji3] Jacqueline naye ajitafakari.. [emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwenyewe juzi nikiwa na ndg zangu flani nilihoji hili jambo..wakacheka kweli[emoji23]

Ila waliniunga mkono,kanenepa sana huyu dada.Ila tumuache ni uhuru wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…