Farhia Middle punguza huo unene

Farhia Middle punguza huo unene

Acha majungu ww hayo ni masuala ya mtu binafsi kama yeye karidhika hivyo ww inakuhusu nini angalia uwasilishaji wake wa habari mengine achana nayo,unataka umpangie mtu hadi maisha aishi vipi acha uchimvi we

Sio kila kitu lazima uzungumze mimi nilidhani unazungumzia amekosea kusoma habari kumbe ni mwili wa mtu unauzungumzia huyo dada hajawahi kuwa mwembamba miaka yote yupo hivyo punguza ujuaji na maisha ya watu
Kanywe maji kwanza umeandika na kwikwi[emoji44]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kazi ngumu kama kupungua! Inataka moyo..mie kila nikiamka nachek barabara kama nusu saa narudi ndani..yaan nawaza niende juu au nishushe chini😄😄! Naishia kushika jembe kutoa toa majani..eish Mambo mbele kwa mbele
We we sio bonge bana, mbona una umbo zuri tu
 
We we sio bonge bana, mbona una umbo zuri tu
Nimenenepa vby mno nadhan daily kuna pound naadd! Nalala kama teja..sina chakifanya kusumbua mwili..uso umekuwa round kama wa Mpoto😄😄! Umejaa...sina hakika kama am ok! Kwenye kula sasa..coz nilimis kula vzr nafukia ile moment sikuwepo! Had watoto wanasema mama umekuwa mkubwaa😣😣😣! Yaan sifai!
 
Mbona ile picha yako unaonekana una umbo kama jaklini mengi jamani? Au macho yangu best
 
Mbona ile picha yako unaonekana una umbo kama jaklini mengi jamani? Au macho yangu best
Nimenenepa km mara 3! Wee.. .mie ni mnene size ya kati..sijawah kuwa thin kama Jack..never! Hahaha...ulinichek vby!..arghh potelea pote!mradi pumzi😄
 
Yan wewe ndo mimi kabisa, usiku wa manane kama hivi nikiamka kama nina bia zangu ndani napiga ikifika saa kumi au kumi na Moja ndo navuta blanketi nalala au kama Sina bia nachemsha Chai au Kahawa muda uende alfajiri nalala

Mie sijanywa nadhan mwezi ss..nikakun
Mbuka kuna wine kuna mvua balaa
 
Nenda kawaone vibonge pia tbc grace nani sijui..kifua xxl
Si watangazaji pekee hata mitaani huku watu wengi ni wanene kupindukia( overweight) ,mfumo wa maisha umebadilika siku hz, matumizi ya magari hata kwenda bar iliyopo mita mia kutoka nyumbani mtu anaenda na gari, ongezeko kubwa la watu wenye kipato cha kati(Middle class), ulaji mbaya, kutofanya mazoezi na kutumia baadhi na njia za uzazi wa mpango hasa kwa akina mama huchangia ssna unene
 
Back
Top Bottom