Farhia Middle punguza huo unene

Nakumbuka Opra alikuwa mnene sana lakini alikuwa na watazamaji wengi sana
Lakini pindi alipoamua kupunguza unene tu watizamaji walipungua sana kwa wembamba wake
Wanene oyee
Huo ni ukweli kuhusu Opra


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Kama mumewe hamwambii wewe ni nani hadi umshauri?kamshauri mkeo bana acha kudandia wake za watu,wewe shida yako kusikiliza taarifa ya habari au kuangalia maumbo ya watu.
 
Mjitafakari kama alivyosema mtoa mada hao wadada ni wazuri sana tena sana ila sasa toka wajiachie hawana mvuto tena.

Ni watoto wadogo tu lakini wanaanza kuonekana kama wako kwenye their 40s

So sad.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hakuna kazi ngumu kama kupungua! Inataka moyo..mie kila nikiamka nachek barabara kama nusu saa narudi ndani..yaan nawaza niende juu au nishushe chiniπŸ˜„πŸ˜„! Naishia kushika jembe kutoa toa majani..eish Mambo mbele kwa mbele
 
Kama mumewe hamwambii wewe ni nani hadi umshauri?kamshauri mkeo bana acha kudandia wake za watu,wewe shida yako kusikiliza taarifa ya habari au kuangalia maumbo ya watu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tena bora wangeacha huu mfumo wa kisherehesha habari ndio aende kwenye kiti anaboa,akisimama pale mbele utafikiri kiboko kinaongea,kanenepeana mpaka anakera.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni majungu mbona hayo mi
 
Acha majungu ww hayo ni masuala ya mtu binafsi kama yeye karidhika hivyo ww inakuhusu nini angalia uwasilishaji wake wa habari mengine achana nayo,unataka umpangie mtu hadi maisha aishi vipi acha uchimvi we

Sio kila kitu lazima uzungumze mimi nilidhani unazungumzia amekosea kusoma habari kumbe ni mwili wa mtu unauzungumzia huyo dada hajawahi kuwa mwembamba miaka yote yupo hivyo punguza ujuaji na maisha ya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…